Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

Huo mwendo utakuwa umesababishwa na kufel kwa mfumo wa brake wa gari, iyo barabara ina mteremko mkali kuanzia ilipo mahakama ya mwanzo.
Dereva kajitahidi,ila angenyoosha kwenye huo mnara angefanya jambo jema zaidi maana ameenda kuvaa magari ya watu.Inaonekana gari ilishamkataa tangu mbali sana.
 
Usihukumu bila ya kuwa una taarifa kamili.

Inawezekana pia kwamba gari limefanywa service vizuri tu, ila uzembe wa fundi ndio uliosababisha breki kufeli ghafla huku gari likiwa kwenye mteremko huo.

Uchunguzi wa polisi utatujulisha ni nani hasa aliyefanya makosa yaliyoisababisha ajali hii itokee.
Umejiunga na JF mwaka 2012, lakini bado ni New Member! masihara hayo kiongozi! hahahahahahahh
 
Tunaposema wamachinga wasifanye biashara pembezoni mwa barabara ni kuepuka madhara kama haya sipati picha tukio hili lingetokea zile barabara machinga wamepanga bidhaa mpaka barabarani
 
Dereva kajitahidi,ila angenyoosha kwenye huo mnara angefanya jambo jema zaidi maana ameenda kuvaa magari ya watu.Inaonekana gari ilishamkataa tangu mbali sana.
Yeah ila atanyanyasika kwa sababu sio barabara rasmi ya mabasi makubwa
 
Usihukumu bila ya kuwa una taarifa kamili.

Inawezekana pia kwamba gari limefanywa service vizuri tu, ila uzembe wa fundi ndio uliosababisha breki kufeli ghafla huku gari likiwa kwenye mteremko huo.

Uchunguzi wa polisi utatujulisha ni nani hasa aliyefanya makosa yaliyoisababisha ajali hii itokee.


Nimesemea uzoefu wa yanayofanyika kwenye jamii.
In the first place nilichosema ndicho ambacho hufanyika.

Wewe ulipaswa kuongezea maoni yako kama nyongeza ya kile nilichokisema na siyo kuchukulia kama hukumu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa , lakini ni nini kinachoweza kusababisha mfumo wa break kufel?

Tuanzie hapo.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa aina ile ya gari mfumo wake wa break hutumia mafuta na upepo. Upepo utumika kwenye brake pedal hadi kwenye brake buster. Kutoka kwenye brake buster hadi kwenye cylinder ndani ya drum ni mafuta(brake fluid). Sasa iwapo itatokea dereva kutumia brake mda mrefu kutasababisha joto kali ndani ya drum hivo kuathiri ufanyaji kazi wa raba zinazozuia mafuta ndani ya cylinder. Iwapo itatokea hizo raba zikavuja basi gari litakosa brake.

Kwa upande wa upepo ikitokea itilafu kwenye mfumo wa upepo lets say pipe imepasuka, pedal la break na clutch hayatafanya kazi(kukosa ulaini wakati wa kukanyaga) na kukosa uwezo wa kuruhusu upepo kwenda kwenye buster za break na clutch hivyo gari itakosa break na pia hutaweza badili gia.

Mwisho gari inaweza kukosa break kwa kutoadjust break mara kwa mara
 
Hakunaga barabara rasmi,labda kama hio sheria ya barabara rasmi itungwe leo kwa ajili yao
Kwenye miji mingi kuna sheria zinazohusu barabara gani inatumiwa na magari gani. Kwa Moshi barabara sio ya mabasi makubwa
 
Back
Top Bottom