Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Hahahahah anafikiria mti ni kama kugonga kifusi cha PopCorns au mapakti ya Chama.😆😆😆😃😃😃 huko kwenye mamomentum utazidi kumchanganya ataona kichina tu,huyu inabidi twende nae kwa swaga za kibuza buza tu😎
Mwambie hiviii....unakumbuka ajali ya sharo milionea😯? Yule aligonga mti na habari yake ikaishia pale pale!!!