Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

Mjinga ni wewe unaepanic kwa kuchukulia mambo kama ni personal issues.

Kwani maana ya majadiliano na uchambuzi wa mada ni nini?!

Kwenye majadiliano au uchambuzi wa swala fulani mtu huchambua kwa kuangalia marefu na mapana ya swala zima na kisha ku conclude.

Mimi siyo mtu wa kariri mambo kama wewe.

Kama ungeelewa maana ya majadiliano na uchambuzi wa maswala wala usingekuja na huu upumbavu wako hapa.

Acha kupanic kwa maswala ambayo siyo personal.

Mtu kama wewe siyo rahisi kunielewa mimi sababu ya tofauti kubwa ya kiwango cha ufahamu kati yako na yangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kilaza tu wala haitakiwi elimu ya stashahada hapa kutambua hivo. Shida ya wapuuzi wanaojiita wenye akili ndo hii, utakuta fani yake ni kilimo cha viazi lakini kujifanya mjuaji wa kitu usichojua. Sasa ngoja nikwambie hilo eneo nalijua fika na ndo maana nakudharau unapolalamika eti speed kubwa, kwani gari likifeli breki linazima au ni kuwa huoni kuna mteremko? Kwanini mwanzoni hukufatilia chanzo na sababu, ukakurupuka kujifanya una akili nyingi kutoa lawama kwa dereva kwamba ana speed kubwa. Acha ujuaji huna akili yoyote ya kuchambua mambo

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Nilipita eneo la tukio na kuikuta hiyo ajali bahati nzuri hawakuwepo watembea kwa miguu wangepata madhara makubwa sana, mwaka huu pia kulikua kuna video ya ajali nyingine ya bajaji ilikosa break ikaingia hadi keepleft ndani. Hivi Chato na Bukoba bado hawajaweka hizo camera(kidding)
Bukoba imeingiaje hapa wewe kidder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kilaza tu wala haitakiwi elimu ya stashahada hapa kutambua hivo. Shida ya wapuuzi wanaojiita wenye akili ndo hii, utakuta fani yake ni kilimo cha viazi lakini kujifanya mjuaji wa kitu usichojua. Sasa ngoja nikwambie hilo eneo nalijua fika na ndo maana nakudharau unapolalamika eti speed kubwa, kwani gari likifeli breki linazima au ni kuwa huoni kuna mteremko? Kwanini mwanzoni hukufatilia chanzo na sababu, ukakurupuka kujifanya una akili nyingi kutoa lawama kwa dereva kwamba ana speed kubwa. Acha ujuaji huna akili yoyote ya kuchambua mambo

Sent from my PBCM30 using Tapatalk


Jifunze namna ya ku manage stress zako maana unajichoresha vibaya !

Siwezi kuwa vile unavyotaka wewe nitakuwa vile ninavyostahili kuwa.

Pole sana kwa stress zinazokubali jitahidi juzi manage.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye miji mingi kuna sheria zinazohusu barabara gani inatumiwa na magari gani. Kwa Moshi barabara sio ya mabasi makubwa
Pole sana, wewe ni mgeni ktk Manispaa ya Moshi. Mabasi yote kutoka DSM, TANGA, ROMBO, ARUSHA, NAIROBI, n.k yanapitia kwenye mzunguko wa YMCA na mita kama 200 wanaingia kwenye mzunguko wa katikati ya Mji ie mnara wa saa, NBC Bank(Clock Tower), KNCU House, n.k kuelekea stand kuu ya mabasi ya mkoa na vijijini (kushoto, mind you, this is a double road highway). Tusimlaumu dereva, kutoka mzunguko wa YMCA huwezi kufua mwendo wa basi 80kms/hour kabla hujafika kwenye round about ya CLOCK TOWER (NBC). It's only 200 metres apart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea usichokijua. Nani brake pads/shoes tu ndio tatizo linalofelisha breki? Kamanda kusema uchunguzi unafanyika unamuona mjinga na wewe ndio mjuaji? Hizo gari zinatumia breki ya upepo, unajua ni valve zimekata au pipe zimetoboka?? No research no right to speak. Acha utanganyika hii ni Tanzania tupo mbele sana sasa.
Ni nini kinachosababisha break ku fail?

Ni uzembe wa mmiliki wa gari na dereva.

Kwanini hawapeleki magari service regularly Kama inavyotakiwa?

Kwanini hawakubadilisha break pads?

Ni uzembe na uzembe lazima wawajibishwe wote dereva na mmiliki wa gari!

Waache kucheza na maisha ya watu!

Na iwe mfano kwa wengine wajifunze


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natazamia kuwepo shukurani za pekee nyingi sana makanisani siku chache zijazo
 
Pole sana, wewe ni mgeni ktk Manispaa ya Moshi. Mabasi yote kutoka DSM, TANGA, ROMBO, ARUSHA, NAIROBI, n.k yanapitia kwenye mzunguko wa YMCA na mita kama 200 wanaingia kwenye mzunguko wa katikati ya Mji ie mnara wa saa, NBC Bank(Clock Tower), KNCU House, n.k kuelekea stand kuu ya mabasi ya mkoa na vijijini (kushoto, mind you, this is a double road highway). Tusimlaumu dereva, kutoka mzunguko wa YMCA huwezi kufua mwendo wa basi 80kms/hour kabla hujafika kwenye round about ya CLOCK TOWER (NBC). It's only 200 metres apart.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka enzi za mabasi Leyland Albion, CD, Ashock, na Victory madereva wake walikuwa wanaengage namba moja pindi wanapozidiwa na break failure
 
Unaongea usichokijua. Nani brake pads/shoes tu ndio tatizo linalofelisha breki? Kamanda kusema uchunguzi unafanyika unamuona mjinga na wewe ndio mjuaji? Hizo gari zinatumia breki ya upepo, unajua ni valve zimekata au pipe zimetoboka?? No research no right to speak. Acha utanganyika hii ni Tanzania tupo mbele sana sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ngoja nifanye kukustahi tu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona hiyo clip jana niliogopa sana. Nikawa nawaza kama kuna watu walikua wanatembea barabarani hawakosi kugongwa na kufa. Sema baadae millardayo akapost kua hakuna kifo.
Kwel binadamu kifo tunatembea nacho jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwa hali ya kawaida ni ngumu kuamini kama hakuna kifo kwa jinsi magari yalivyosambaratishwa na mengine kugeuziwa yalikotoka
 
Mzee unajua kuendesha gari kweli?

Kugonga mti ni sawa na kifo cha kujitakia wewe mwenyewe. Mara elfu upinduke lakini sio kwenda kugonga mti
🤣🤣🤣🤣🤣 msamehe, topic ya momentum wakati inafundishwa alijificha chooni.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 msamehe, topic ya momentum wakati inafundishwa alijificha chooni.
😃😃😃 huko kwenye mamomentum utazidi kumchanganya ataona kichina tu,huyu inabidi twende nae kwa swaga za kibuza buza tu😎

Mwambie hiviii....unakumbuka ajali ya sharo milionea😯? Yule aligonga mti na habari yake ikaishia pale pale!!!
 
Back
Top Bottom