Huo mwendo utakuwa umesababishwa na kufel kwa mfumo wa brake wa gari, iyo barabara ina mteremko mkali kuanzia ilipo mahakama ya mwanzo.Dereva alivhukuliwe hatua kali sana iwe fundisho kwa wengine wazembe na waenda mwendo kasi kama yeye.
Huyo wamnyang’anye na leseni kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna kifo?!!!!Poleni sana wafiwa!
Dereva kajitahidi,ila angenyoosha kwenye huo mnara angefanya jambo jema zaidi maana ameenda kuvaa magari ya watu.Inaonekana gari ilishamkataa tangu mbali sana.Huo mwendo utakuwa umesababishwa na kufel kwa mfumo wa brake wa gari, iyo barabara ina mteremko mkali kuanzia ilipo mahakama ya mwanzo.
Umejiunga na JF mwaka 2012, lakini bado ni New Member! masihara hayo kiongozi! hahahahahahahhUsihukumu bila ya kuwa una taarifa kamili.
Inawezekana pia kwamba gari limefanywa service vizuri tu, ila uzembe wa fundi ndio uliosababisha breki kufeli ghafla huku gari likiwa kwenye mteremko huo.
Uchunguzi wa polisi utatujulisha ni nani hasa aliyefanya makosa yaliyoisababisha ajali hii itokee.
Mkuu uchuro huo ujue!!!Poleni sana wafiwa!
Ili uwe unaona habari au ajali?Ukiacha hilo janga nimependa hizo CCTV camera hilo eneo tumeweza kuona live kilichotokea bila kusimuliwa natamani zingekua karibu maeneo yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ila atanyanyasika kwa sababu sio barabara rasmi ya mabasi makubwaDereva kajitahidi,ila angenyoosha kwenye huo mnara angefanya jambo jema zaidi maana ameenda kuvaa magari ya watu.Inaonekana gari ilishamkataa tangu mbali sana.
Naona mchawi ulikuwa umetega vyungu upate damu ... Sasa kifo kipo wapi hapo...Poleni sana wafiwa!
Usihukumu bila ya kuwa una taarifa kamili.
Inawezekana pia kwamba gari limefanywa service vizuri tu, ila uzembe wa fundi ndio uliosababisha breki kufeli ghafla huku gari likiwa kwenye mteremko huo.
Uchunguzi wa polisi utatujulisha ni nani hasa aliyefanya makosa yaliyoisababisha ajali hii itokee.
Huo mwendo utakuwa umesababishwa na kufel kwa mfumo wa brake wa gari, iyo barabara ina mteremko mkali kuanzia ilipo mahakama ya mwanzo.
Kwa aina ile ya gari mfumo wake wa break hutumia mafuta na upepo. Upepo utumika kwenye brake pedal hadi kwenye brake buster. Kutoka kwenye brake buster hadi kwenye cylinder ndani ya drum ni mafuta(brake fluid). Sasa iwapo itatokea dereva kutumia brake mda mrefu kutasababisha joto kali ndani ya drum hivo kuathiri ufanyaji kazi wa raba zinazozuia mafuta ndani ya cylinder. Iwapo itatokea hizo raba zikavuja basi gari litakosa brake.Sawa , lakini ni nini kinachoweza kusababisha mfumo wa break kufel?
Tuanzie hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga barabara rasmi,labda kama hio sheria ya barabara rasmi itungwe leo kwa ajili yaoYeah ila atanyanyasika kwa sababu sio barabara rasmi ya mabasi makubwa
0766666666KUNA KADADA KEMBAMBA KALITOKA NJE YA JENGO. Mwenye Namba zake anipe nataka sana zile figure
Kwenye miji mingi kuna sheria zinazohusu barabara gani inatumiwa na magari gani. Kwa Moshi barabara sio ya mabasi makubwaHakunaga barabara rasmi,labda kama hio sheria ya barabara rasmi itungwe leo kwa ajili yao