Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

Binti coaster ya 2006 utayoipata chini ya $11,000(CIF) Ni gari iliyotumika Kama 'kids bus' huko ma mbele.So wewe Ni kaongo.
Sasa Mke wa jirani yangu hata Google imeshindwa kukusaidia?
 

Attachments

  • Screenshot_20240406_010313_Chrome.jpg
    704.1 KB · Views: 13
Achana nae huyo. Kuna machimbo gari unajibebea kuanzia $70View attachment 2955113
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Utoto Ni Raha Sana,kwamba Kuna coaster ya $70 sio?Fanya kitu rahisi tu,hizo gari zote ulizopiga screenshot weka VIN zake hapa(,najua umezitoa hapa Toyota Coaster 1960-๏ฝœbest price Japanese used cars for sale - TCV(former tradecarview)
nikuwekee CIF zake. Naomba madmax na offshore Seamen
wawe mashahidi Kama katika hizo gari Kuna ambayo iko chini ya CIF ya $11,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ