Basi mkikutana na vijana wa aina hii muwakumbushe mambo haya Matatu

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa

1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa.

2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi .

3. Siasa ni mchezo mchafu waachwe wanao uweza waucheze.

Mwisho huyu mwanaharakati akumbushwe ni bora ajifunze kwa kaka zangu kina Musiba Sabaya, Makonda, Polepole na wengine.

Your browser is not able to display this video.


Mungu ibariki Africa ,Mungu ibariki Tanzania .
 
Mbona huyu ni kama Chizi? Hana uwezo wa kujenga hoja, anaweza kuharibu hata imani anayoitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…