Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa
1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa.
2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi .
3. Siasa ni mchezo mchafu waachwe wanao uweza waucheze.
Mwisho huyu mwanaharakati akumbushwe ni bora ajifunze kwa kaka zangu kina Musiba Sabaya, Makonda, Polepole na wengine.
Mungu ibariki Africa ,Mungu ibariki Tanzania .