Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio jobless, hivyo usi mtafutie🤣Nikipata kibali kutoka kwa Mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ntakutafutia wannee 😂
Neno la Rais ni sheriaaaaaa 😂Huyo sio jobless, hivyo usi mtafutie🤣
yupi uliye nichagulia??, halafu shangazi hunaga dogo😂Wanazeeka wa kijiji huko bhana
Mimi bado mwanamke rijali na nusu.
Si nilikuchagulia mchumba ukaleta pozi unaona sasa unapata wenge? Pole mpwa ila ngoja niangalie namna ya kufanya
Usi rudie, lasivyo Nita kuchapa viboko😂🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Eli Cohen samaleko zangu naomba uzifikishe kwa mwalimu wangu wa kwaya!
Mwambie baada ya kunywa BUTUA ndo nimeweza kukumbuka na kuomba Yale mashairi ya ule wimbo wake wa juzi kwa usahihi.
Unaimbwa hiviii!
I know your here, Precious Holy Spirit
I know your here, to bring the huge revival
Kwa sauti ya Apostle Joshua Selman
Mbona weweooooooo 😂
,😂😂😂😂😂😂
"Zas wai ai waz rekoding, zas wai am rekoding"
😂😂😂😂😂😂Salamu Kijana masikini mpunguzie bia makutupora atamsalimia hadi shetani😂😂
Nakufahamu wewe unaweza ukataka kula ndiyo ule, you know what i mean😀 ila hapa ni pilau tu, ukihitaji mbususu nakudunda😀😀Duh! Sasa jamani mie napenda pilau kuliko mbususu ukinipa pilau story kwisha mbususu sihitaji