Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Mbona kama umekana 'kikubwa'?
Ila wewe, ngoja nimalize uchaguzi mwaka huu lazima nikulee. Naona unatanga tanga sana humu jukwaani kutafuta sponsor 'mshangazi'πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Sponsor mshangazi???, nah mizimu yetu Ina weza fufuka ini vunje menoπŸ˜‚

halafu mimi kichwa changu ni Cha ajabu, asubui mpaka jioni natakiwa kuwa stable sio horrible🀣
 
senior Usha wahi ona moto una sumbuliwa na nzi??.

ni kutype kidogo, uki choka ni kukata ticket ya kwenda kuangalia mpira au tamasha la mzikiπŸ˜‚πŸ€£
Na kweli
Wala sina stress kabisa
Next month naenda Berlin kwa siku 3 kuliangalia tu jiji
Hapo pa moto umeniacha hoi πŸ˜„ 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…