Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Sponsor mshangazi???, nah mizimu yetu Ina weza fufuka ini vunje meno😂Mbona kama umekana 'kikubwa'?
Ila wewe, ngoja nimalize uchaguzi mwaka huu lazima nikulee. Naona unatanga tanga sana humu jukwaani kutafuta sponsor 'mshangazi'🤗🤗🤗
halafu mimi kichwa changu ni Cha ajabu, asubui mpaka jioni natakiwa kuwa stable sio horrible🤣