Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Mbona kama umekana 'kikubwa'?
Ila wewe, ngoja nimalize uchaguzi mwaka huu lazima nikulee. Naona unatanga tanga sana humu jukwaani kutafuta sponsor 'mshangazi'🤗🤗🤗
Sponsor mshangazi???, nah mizimu yetu Ina weza fufuka ini vunje meno😂

halafu mimi kichwa changu ni Cha ajabu, asubui mpaka jioni natakiwa kuwa stable sio horrible🤣
 
Back
Top Bottom