Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Juma'a MubarakAllahumma khairan Fil kulli Amrin Antadhiruh...Jumaa Kareem
Nimezipokea kwa mikono miwiliNatuma salamu kwa Black Sniper heshima kwako senior.
π nilizaliwa naoWe una dhani huo unusu albino uli utoa wapi π π€£
Pamoja Sana seniorNimezipokea kwa mikono miwili
Asante kunikumbuka
HahahahhNatuma salamu kwa To yeye na Joanah .
Maisha marefu nawatakia.
Siji kutuma kwa Lucas Mwashambwa hata iweje...Mtoto wa mama huyo.
Asante sana zimefika uko poa mkuu
Nipo poa kabisaAsante sana zimefika uko poa mkuu
Zimefika,ndaga fijo