Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Tate Mkuu leo weekend upo maeneo ii gani unakunywa wine hapo na mtori eh nandizi au ugali unakumbukia tanga na samaki zile.
Hii wekend nalala tu mama. Mpaka muda huu sijalipwa mshahara wangu wa mwezi wa kwanza kutokana na hii kazi yangu ya ulinzi. Yaani hata hela ya kununulia tu chupa moja ya mnazi, nimekosa.
 
Back
Top Bottom