Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante expert wangu Tumwesige senior tupo pamoja
Afande Fetty wa mikoroshini 😂😂😂
Nilisahau 😂😂Afande Fetty wa mikoroshini 😂😂😂
Expert wangu Eli Cohen asante tupo pamoja sanaSamaleko mzee wa philosophy Etugrul Bey
Samaleko Magical power na nyuzi zako saa sita usiku eti tutishike, "HATUTISHIKIII" (in maalim's voice)
Samaleko makutupora najua unaagulia hang over ya jana
😂😂
Nimezipata salam mkuu,hamjambo huko lakin
Samaleko nimetenguka mguu!Samaleko mzee wa philosophy Etugrul Bey
Samaleko Magical power na nyuzi zako saa sita usiku eti tutishike, "HATUTISHIKIII" (in maalim's voice)
Samaleko makutupora najua unaagulia hang over ya jana
😂😂
Haina nouma mzee wangu jambo la khery
Amen Amen ikawe khery....... Na kwako pia bruhNimezipokea mkuu. Nashukuru sana.
Kila lililojema ni halali yako. Ahsante sana.
Hatujambo mkuuNimezipata salam mkuu,hamjambo huko lakin
Hii wekend nalala tu mama. Mpaka muda huu sijalipwa mshahara wangu wa mwezi wa kwanza kutokana na hii kazi yangu ya ulinzi. Yaani hata hela ya kununulia tu chupa moja ya mnazi, nimekosa.Tate Mkuu leo weekend upo maeneo ii gani unakunywa wine hapo na mtori eh nandizi au ugali unakumbukia tanga na samaki zile.
Shukrani sana salamu zmefika
Asante sana Tumwesige senior
Asante sana Mkuu!Duh pole sanaaaa mkuuu pole sanaaaa
Nakuombea urudi katika hali njema