Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Naona umetutupia triple K 😀 😀 😀 ..
Zikufikie pia popote ulipo rafiki
Akipokea salamu zangu pia PSL god,Vincenzo Jr na min -me sio mbaya wakiongozwa na mzee wa likes raraa reree ...hawa watu wana like sana content zangu nawa appreciate...
Tag yako unajua nimeiona leo hii sijui kwanini jana sikuiona!!

Anyway na kwako pia mtani 🤗
 
Nunua urojo mpe boda aniletee ndio ushawishi huo.

Kule Nyerere square, Chef asili iliyo mkabala na Asas dairy store ukiwa pale angalia upande wa pili wa barabara kuna restaurant wanauza ice cream na urojo.
Weeeeeee ngoja nikaonje kwanza mwenyewe halafu mwambie boda wako asogelee avae jersey ya Simba
 
Back
Top Bottom