Basic math test that most people get wrong

Basic math test that most people get wrong

kwenye swali hawakuongelea muda kabisa...so hio assumption unaitoa

Nilikua namnukuu aliyetaka hasara aliyoipata huyo jamaa kwenye hiyo biashara. Alitaka pesa nikaongezea hasara isiyo kwenye mfumo wa pesa.
 
Jamaa aliondoka home na 60$, akanunua mbuzi. Then akauuza kwa 70$.

Mfukoni akawa ana 70$. Akaona hii biashara mbona nzuri.
Akaenda mnadani akamuulizia yule mbuzi bei yake.
Wakamwambia tunakuuzia kwa 80$, jamaa akasema, "aahaa hawa wapuuzi yaani nimewauzia mimi wameshapandisha bei mara hii"
Haina noma. Akampigia simu rafiki yake niazime 10$. Kuna mbuzi hapa nichukue.
Akapewa 70$+10$(anatakiwa kuirudisha) jumla 80$.
Akanunua mbuzi. huyooo hadi kwa mangi, si kuna wakwe wamekuja.
Akamshaeishishi mangi kwa mbinde, mangi akanunua mbuzi kwa 90$.

Jamaa huyo akasepa zake. Akapitia kwa rafiki yake akamuachia 10$, uzuri alimpa bila riba. Akabaki na 80$.

Akafika home, mke akamuuliza wewe si uliondoka na 60$ mbona una 80$.
Jamaa akamjibu mkewe, mjini akili mke wangu nimefanya biashara nimepata 20$ kama faida.
 
Umezingatia swali lililoulizwa? Umeambiwa katengeneza faida kiasi Gani kutokana na huyo mbuzi.

Kwa kuzingatia kwamba alikua na USD 60 tu kama mtaji.

Mfano ulioutoa ndio Hali ilivyo mtaani.

Sasa hapo faida ya USD 10 jumlisha na USD 60 aliyokuwa nayo inakua USD 70. Anatakiwa anunue mbuzi Kwa USD 80. Hapo inakuaje?
Hajasema kuwa alikuwa na Dola 60 tu
 
Kwa wabetiji ni kama umefika na 60$ yako umepoteza muda wa kula na kuliwa na kuondoka na 60$ yako.
 
👏👏👏Basic accounting, revenue minus expenses = gross profit.
Sasa hapo expenses zipo wapi...si bora uwe kilema tu kuliko kuitumia mikono uliyo pewa na Mungu kuitumia vibaya...
 
Back
Top Bottom