Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Na unaona kwamba hiyo 1.8 ni mshahara mkubwa?Je wakati unalipwa 80,000 minimum wage ilikuwa shi ngap?Kodi ya nyumba ilikuwa sh ngap?Bei ya kilo ya nyama ilikuwa sh ngp?Anyway endelea kufanya kazi acha kulalama
 
Binafsi nilianza na basic 166,800/= take home 144,000/= hivi mwaka 2008.

Haikuwa rahisi kufanya mambo makubwa zaidi ya kupata chakula cha hali ya chini tu.

Nashukuru Sana uongozi wa mstaafu kikwete kwani alijitahidi Sana kutuongezea.

Muhimu la kujua ni kwamba Kuna kada kwenye kiwango kidogo cha elimu mshahara unaanza chini kwahiyo hutakiwi kuwa mtu wa tamaa na mambo mengi.
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097

View attachment 3196256
Wapi imeandikwa lazima ukope?

Na kabla ya kuanza kazi unaambiwa kiasi cha mshahara wako kwa mwezi plus makato yote na unapewa kiasi kilichobaki. Uamuzi unabki kwako ukiona mshahara mdogo unatakiwa kuacha kazi hiyo mara moja.

Wizi ni hulka ya mtu ambayo kwasasa inapigiwa chapuo na jamii ili ionekane ni halali. Uzembe kazini sio sababu ya mshahara mdogo, bali ni upumbavu unaolelewa na taasisi/mwajiri.
 
Ni kweli chief
 
Back
Top Bottom