Watu wote duniani wanatoa sadaka,wanatoa michango,Wana viwanja na mashamba?Nafikiria 350k mtu anaishije nauli humo humo, chakula, pango, vocha, dharura, michango, sadaka, watoto shule na bado mtu atataka maendeleo mengine kama kunua kiwanja, mashamba, kumiliki usafiri, kujenga, n,k
Atakuja shoga atasema KY jelly Moja inauzwa Elfi 20,na kila wiki anahitaji 2,....sasa mtu mwenye huo mshahara atafi.rwaje?