Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

Kwahiyo mil 1.8 unaiona kubwa??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu Kwangu nikubwa,unataka nitukuze mshahara wako wa 5M ambao haujawahi nunua kwenye familia yangu hata robo kilo ya unga!? Nawewe endelea kutukuza kipato chako,tusipangiane,wewe ulitaka nilipwe kiasi gani?
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Kwangu natumia luku za 400K kwa mwezi! Hii dunia hii, inasikitisha sana
 
mbona makato yake ni ya kawaida tu sema kilichomuua hapo ni huo mkopo wa NMB wanachukua laki 2 asingekuwa nao mkopo huo angechanganya na take home yake angekuwa na 350K makato himilivu kabisa
 
Nafikiria 350k mtu anaishije nauli humo humo, chakula, pango, vocha, dharura, michango, sadaka, watoto shule na bado mtu atataka maendeleo mengine kama kunua kiwanja, mashamba, kumiliki usafiri, kujenga, n,k
 
Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Hiyo 390,000 unakuta mwaka wa 5 hapo na imeongezeka 50,000 tu
 
Nafikiria 350k mtu anaishije nauli humo humo, chakula, pango, vocha, dharura, michango, sadaka, watoto shule na bado mtu atataka maendeleo mengine kama kunua kiwanja, mashamba, kumiliki usafiri, kujenga, n,k
Wanaoona hiyo hela kubwa labda bado wanaishi kwa shemeji aliyeoa dada zao (na mizinga usikute anapigwa pia)
 
Hiyo 390,000 unakuta mwaka wa 5 hapo na imeongezeka 50,000 tu
Watu wamekaa miaka mitano hawajapanda madaraja wala kuongezewa mshahara anakuja mama anaongeza elfu 20 baada ya miaka mitano
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
Si hela ya NMB tayari anayo jamani kwani imeisha 😂
 
Duh... siamini aisee, basic salary?
Usisahau kakopa million 9 kanunua gari ya million 4 anavimba mjini, million 5 kafungulia biashara ya mpesa anaishi mjini

Kuna sehemu niliona watu wanashangaa mwalimu kanunua gari? Nikasema nyinyi hamjui yule mwalimu alichokifanya
 
Mwanetu uyu wa "Mshahara wa January vipi Mbona unachelewa"?

One day yes
 
Huyu bila shaka atakua ni mtendaji wa kijiji/kata mahala fulani
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
 
Usisahau kakopa million 9 kanunua gari ya million 4 anavimba mjini, million 5 kafungulia biashara ya mpesa anaishi mjini

Kuna sehemu niliona watu wanashangaa mwalimu kanunua gari? Nikasema nyinyi hamjui yule mwalimu alichokifanya
Nafikiri kwenye mada haijatajwa kada yoyote ya mtumishi wa umma.
So, usiingize kitu ambacho hakipo.
According to salary slip hapo chini👇huyu, si kada uliyoutaja. hapo.
 
Attachments

  • IMG_20250108_193259.jpg
    IMG_20250108_193259.jpg
    99.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom