Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

Yupo kada gani? Na tuone ushahidi bila ivyo ni uongo unatafuta atention
IMG_20250108_193259.jpg

Kada sijui
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Ni huzuni
Inabidi kujiongeza hapo
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Therasini ××. Thelathini ✓✓✓
 
Back
Top Bottom