Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wewe unaanza kazi thaman ya dola ilikuwa 2500? Au bangi zinakusumbua? Maisha yamebadilika.Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Inabidi kujiongeza hapoKuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Ni huzuni
Chawa la chura kiziwiFanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Point yako ni ipi?Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
Michawa ya mama mna hasiraTherasini siyo nini makalio wewe!?..mkopo alifanyia nini!?.. tatizo man tamaa,wazee waliishi kwa mishahara hiyo
Michawa ya mamaTherasini siyo nini makalio wewe!?..mkopo alifanyia nini!?.. tatizo man tamaa,wazee waliishi kwa mishahara hiyo
Therasini ××. Thelathini ✓✓✓Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Uyo ni mtendaji wa mtaa tena mpya kabisa