Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
Sukari ilikuwa kilo 500
Unga wa Dona 250 kg
Kiberiti 20
Nauli 50

Unaweza kuona hapo 800 ingetosha mahitaji yako kwa siku Kama uko singo ukasave 1000.

Kipindi hicho baiskel Phoenix mpya ilikuwa inauzwa Kati 50000-65000. Kwa hela hiyo ungeweza kutumia miezi mitano tu ukapata Phoenix yako mpya bila stress
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Hebu ficha hii personal document yako mkuu!
 
Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
1850 ya mwaka 2005 utailinganisha na sasa acha ku expose ujuha wako humu hujui kuna masuala ya infleshen kuna watu ni vichwa maji kweli kweli yani.
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Ningekua mimi nachukua huo mkopo na kuacha kazi hapohapo siwezi ujinga
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Mkopo wanamkata 215,000 Kama ni miaka Saba means alikopa sio zaidi ya milioni 13.

Halafu huyu mtumishi asiwe mwizi Kweli?
 
Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
Mwaka huo wa 2005 bia moja safari ilikuwa inauzwa TZS 600.
Kwa hiyo ulikuwa na uwezo wa kununua bia 3 kwa hiyo 1,850.

Sawa na sasa hivi bia moja ni 2,000 kwa bia 3 itakuwa TZS 6,000.
Mwezi 180,000 na ndio mishahara mingi ya viwandani huko.
 
Back
Top Bottom