Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

Ukiteuliwa kuwa Disii au cheo kingine cha kisiasa usilete mihemko sana. Wewe fata wanavyotaka waliokuweka basi kunja pochi pita hivii.
 
Hana lolote,ameli-miss VX V8!
 
Anayaongea Basila ni mfumo wa watendaji serikalini wako pale sio kuleta maendeleo kwa wakati bali kushiba na kujijenga kwa wakati huku wakifelisha miradi.

Hili sio la kuuliza kuanzia serikali za mitaa mpaka juu mambo yako hivi. Moja ya kiini cha nchi kutokuendelea.

Nenda hata mashirika kama bandari ya umma,posta, TIB yalikufa na kubinafsishwa sababu ya watendaji wabovu anawaongelea basila hapa. Kaongea kimafumbo lakini hapa SSH anahitaji kuwapa nafasi ya kusikia uozo ndani ya watendaji kutoka kwa watu kama kina basila.
 
Jf imejaa cilaza 99% hawaelewi kitu
 
Huyu Naye kiburi kiburi sana ...issue ya mamiss alitwaa vikaoni kutatua mgogoro akawadharau viongozi wa serikali hakwenda...huyu dada anakakiburi Sana hata wananchi alikuwa anawadharau Sana .nadhani mama kumla kichwa ilikuwa sahihi
 
Walivomla kichwa nkasema ni sahihi kabisa...anakabiruri na nyodo huyu dada ...unakumbuka suala la miss Tanzania alivowagomea kuitikia wito wa viongozi wa serikali kisa ana kacheo...pia wananchi alikuwa anawadharau Sana...
 
Ametimiza wajibu 🙏🙏
 
Ushamuharibia tayari

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa wilaya hela zipi za kusave, mshahara au? Ofisi ya mkuu wa wilaya inaweza kupata OC ya sh 2mln baada ya miezi 3 matumizi mengi ya ofisi inabidi kupiga magoti kwa mkurugenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…