monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisaKwenye cheo ukikataa kugawana pesa na wenzako kwamba miradi iishe kwa wakati unafanyiwa fitina utolewe
Mama yao kawaacha vizuri sanaHuyo dada yupo vizuri kipesa kitambo.
Ana urithi wa kutosha tu wa mijengo prime areas.
Kabla hajateuliwa tu alikuwa anaendesha gari za gharama kuliko v8
Pesa ipo hapo hana haja ya kaziAkatafute kazxi ingine ya kufanya,
Hawa tumeshinda nao kwenye mabar huko wanatafta wazungu wakiloa tunawapa moto vichochoroni hata sijui nani aliwapa thamani ya uheshimiwa.
haya ni maombolezo au nini?Na Basilla Mwanukuzi
KUNA CHA KUJIFUNZA
Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)
2.. Pili kuleta matokeo
Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'
3. Kuleta matokeo kwa wakati
Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.
Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI
HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")
1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)
FAIDA
Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo
SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri
Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa
Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa
Instagra: basillamwanukuzi
Hela anayo huyu miaka mingi tu sasa hata kuingia siasa unashangaaPesa ipo hapo hana haja ya kazi
Hiyo
Ova
Nadhani uko sahihi mkuu. Nipo Korogwe, kuna jamaa yangu mmoja wa online tv ambaye alikuwa anafanya naye kazi kwa ukaribu aliniambia huyu Bi dada yuko stable sana financially. Mara ya mwisho hapa Korogwe alikuwa anatembelea jeep moja nyekundu matata sana.Huyo dada yupo vizuri kipesa kitambo.
Ana urithi wa kutosha tu wa mijengo prime areas.
Kabla hajateuliwa tu alikuwa anaendesha gari za gharama kuliko v8
Nadhani uko sahihi mkuu. Nipo Korogwe, kuna jamaa yangu mmoja wa online tv ambaye alikuwa anafanya naye kazi kwa ukaribu aliniambia huyu Bi dada yuko stable sana financially. Mara ya mwisho hapa Korogwe alikuwa anatembelea jeep moja nyekundu matata sana.
Na nasikia mjini Daslam ana investments zake ambazo by any means hawezi kufa njaa; sema ndiyo vile tu madaraka nayo matamu bwana [emoji3]...
Kwani ukiteuliwa katika wadhifa wa umma na kuondolewa na mamlaka ya nchi kama kweli mtu ni mwadilifu; si unaendelea kutumiki taifa lako kivingine? Haya maneno mengi instagram, twitter, fb ya nini? Vijana tubadilike.🙏🙏🙏Na Basilla Mwanukuzi
Instagra: basillamwanukuzi
KUNA CHA KUJIFUNZA
Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)
2.. Pili kuleta matokeo
Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'
3. Kuleta matokeo kwa wakati
Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.
Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI
HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")
1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)
FAIDA
Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo
SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri
Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa
Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa
Kutokana na hayo makosa hukuelewa? PUMBAVUVilaza hamuwezi kuelewa.
Hatutegemei kiongozi mkubwa wa ngazi ya Ukuu wa Wilaya asijue Kiswahili fasaha!
Nitakutajia baadhi ya makosa aliyoyafanya, mbwiga wewe:
masilahi
2.
kuwa
ikuwa
ili hali
halafu
masilahi
ku-imagine
kwa ufupi
utakuwa
masilahi
una nguvu
unakoishia
uki-deal
watakuwa
masilahi
Kimsingi makosa ni mengi sana, ila nyie vilaza hamtakaa muelewe.
Hoja ni uelewa ama makosa?Kutokana na hayo makosa hukuelewa? PUMBAVU