Kwenye final hurdle alikuwa anasikika anasema 'one more game....one more game 'Nimeona tweet ya LeBron anasema hawajamaliza bado moja
France kazi anayo
Nacheki hapa, Serbia kama kawaidaGermany vs Serbia bronze medal game....live now
Countrywide
Tanesco wameona nafaidi weekend wamekata umeme. Wapuuzi sana.
Pole sana, game nzuriTanesco wameona nafaidi weekend wamekata umeme. Wapuuzi sana.
Serbia wanajua sanaTANESCO Wapuuzi sana. Wamenikosesha hii game.
Kabisa nimewakubali japo mwanzoni nilikuwekea doubt uliposema wanajua sanaTheir two-man, high pick and roll game ni hatari.