Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Nimeona tweet ya LeBron anasema hawajamaliza bado moja
France kazi anayo
Kwenye final hurdle alikuwa anasikika anasema 'one more game....one more game '
Wako determined sana na hii gold. For him,KD na Steph. Ila Steph game hii kafanya mambo ya Steph
 
Simbu and Geay naona wanaiwakilisha 🇹🇿 hapa kwenye marathon, bado kilometa ni za mwanzo around 12 sasa...

Amoung the greats nawaona Kipchoge, Bekele, Tola, Kiplangat...
 
Germany vs Serbia...

Bronze medal match....ndio inaanza muda huu
 
Simbu and Geay naona wanaiwakilisha 🇹🇿 hapa kwenye marathon, bado kilometa ni za mwanzo around 12 sasa...

Amoung the greats nawaona Kipchoge, Bekele, Tola, Kiplangat...
Tulianza vizuri
 
Leo Germany ipo vizuri tofauti na ile siku na France
Bahati mbaya wamekutana na Serbia
 
Leo men's final USA vs France
Kesho women's final USA vs France
 
Their two-man, high pick and roll game ni hatari.
Kabisa nimewakubali japo mwanzoni nilikuwekea doubt uliposema wanajua sana

Turkey vipi? Sijawahi kubahatika kuona national team yao, Ila kwenye eurolague clubs zao fenebarhce na anadolu huwa wanafanya sana vizuri
 
Back
Top Bottom