Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Mkuu 55-36 watarudi vipi? Ile exhibition game imewaponza. Watu waliongea sana sasa leo vijana wa Biden wanataka kuweka records straight. Wana hio mentality.
Kweli aisee Leo wote wamewaka Derick white anapiga steals kibao
Antony Edwards nae kachanganya leo. Kazi ipo
 
Mkuu 55-36 watarudi vipi? Ile exhibition game imewaponza. Watu waliongea sana sasa leo vijana wa Biden wanataka kuweka records straight. Wana hio mentality.
Mwenyewe sioni wakirudi mchezoni tena., ila jamaa wana team nzuri.,
 
Back
Top Bottom