daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
South Sudan wako vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe nilikuwa upande huo, ndio ninahamia huku kwenye basketball ninakuta 3rd quarter inamalizikiaNgoja nitazame hii Q3 na Q4...
Leo nilikuwa nimenogewa kutazama Athletics na Swimming..
Hii quarter ya mwisho nalna SSD wameanza na Moto sanaSSD wanahitaji utulivu tu. Game yetu hii.
7572-71 twende kazi
Hii quarter naona wote wapo Moto, kazi ipoWanahitaji utulivu tu,sema kocha wao anawaambia waongeze speed.
Hasa kwenye mitupk ya 3 pointsYaani wanakosa utulivu tu
Gap linazidiSSD wanahitaji utulivu tu, ila ninaona kama wamepanick sana, wanafanya makosa mengi, so yanawagharimu
Wajinga wanapiga 3 points tu
Hii hatutoboi
YesIt's true...
SSD wanapambana lakini wanafanyiwa sana turnovers...