Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

Mshana Jr ni watu wachache sana wenye kutafakari mambo kwenye angle ya kiroho, na wengi watabeza wataona umeandika lugha wasiyoielewa
Ni wa kusamehewa na kuelimishwa tu kwa weledi na wengine kati yao ni wa kupuuzwa tuu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
umeongea point Ni vyema kuviombea vitu pale tunapovinunua.unaweza ukanunua gari ina mazindiko kwasababu huna nguvu ya Mungu/Neno la Mungu inakuua
 
 
Hayasifii bali yanaruhusu unywaji wa kileo.[emoji736][emoji817][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Maji ya kuoshea wafu yanatumika sana kwenye biashara na mahusiano
 
niliwaza sana hili tukio na kusoma assumptions nyingi za watu...lakini kiukweli binafsi nilifikiria kiroho kuhusiana na hili tukio...naamini kabisa mhusika aka mfyatuaji risasi ana roho ilikuwa mwilini kwake inamtafuna na chanzo ni historia yake ya nyuma inawezekana kuna mahala kuna shida...
 
Kwani kazi ya bastola au silaha za moto ni nini? si kuua tena kuua watu wala si wanyama? unaongea nini sasa?
 
 
Pamoja sana mkuu nimekula Sana manuksi nishapoteza zaidi ya milioni 150 kununua ma used sijaambulia hata sent zaidi ya kurudi nyuma.Mimi na kitu kiitwacho used aisee ni maji na mafuta.
 
Hii ni elimu ya ulimwengu wa roho yaani ulimwengu usioonekana
 
Muwe mnasoma na kuelewa kilichoandikwa, Nimeandika mada hii kwa mtazamo wa kiroho.. Wanaoona ni tukio la kawaida wasione ni kituko kuwaza tofauti na wao..!
True hata Neema Kumuuwa kijana wa saluni ni mambo ya kiroho zaidi.Yaani roho mauti inamfaa mtu na mtu huyo uenda kuuwa kwa faida ya roho hio ya mauti iliyomtuma,thus roho hio ikishamtoka mtu ujutia makosa yake.
 
Pamoja sana mkuu nimekula Sana manuksi nishapoteza zaidi ya milioni 150 kununua ma used sijaambulia hata sent zaidi ya kurudi nyuma.Mimi na kitu kiitwacho used aisee ni maji na mafuta.
Hasa hizi gari za biashara hizi ni mbaya sana.. Unanunua daladala kwa mtu kumbe limeshafanyiwa mazindiko na makafara ya kutosha..
Roho yake haitakuacha mpaka ufilisike kabisa
 
[emoji3][emoji3] Mshana unapenda sana ushirikina. Siku tukikutana nitakutaka uthibitishe lolote katika huo ushirikina kwani umebobea sana humo.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…