Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

Mkuu silaha ni silaha tu, imepitia mikononi mwa mtu safi ama mtu katili ishaitwa silaha. Kwa namna yoyote (ukatili/ ulinzi) kama sio kuondoa uhai wa mtu basi itamwaga damu ya mtu.
ndo matumizi ya silaha hayo.
 
Umeandika 'fact'.

Kuna jamaa yangu alifariki kwa ajali ya kugoga mwembe kwa gari.

Ile sehemu iliyogongwa, walichubua magome yote mpaka wakaokota uvingiri uliosambaa pale chini pamoja na ule 'unga' wa vioo vilivyotapakaa damu, vyote walifagia wakazoa!

Muda wa kubangua hayo magome na kufagia vioo wanaujua wao maana hatukuona mtu akifanya hilo tukio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali wewe,ukipigwa maswali magumu unakuaga unajiaminisha kua aliye kuuliza hajaelewa bandiko
Haaaaa Haaaaa 😂. Sidhani kama huyo jamaa alinunua hiyo silaha ili auwe nayo mbuzi, hiyo ni maalum kwa matumizi ya binadamu 🔫
 
Mawazo ya kijinga kabisa haya,kwenye karne hii yenye sayansi na teknolojia bado kuna mtu anawaza sijui makafara!!

Kazi ya Bastola/Bunduki ni kuua tu,so silaha zote zinazoua hapa dunuani zina mikosi na laana?

Magari,Ndege,Meli...zikipata ajali na kuua ina maana zilinunuliwa kwa pesa haramu? Zinakua ni kafara?

Acha kupotosha wewe,haya mawazo ya kijinga baki nayo wewe peke yako,usiaminishe hiki kizazi cha sasa upuuzi usiokua na maana.
Haaaaa Haaaaa 😂jamaaa anaona ufahari kweli kweli wanavomuita mshirikina kumbe Utopolo mtupu 😂😂😂😂
 
Ila we jamaa huonagi mbali bali unaonaga ya mbele sana,ungekuwa tapeli basi we ungekuwa millionaire
 
Haaaaa Haaaaa 😂jamaaa anaona ufahari kweli kweli wanavomuita mshirikina kumbe Utopolo mtupu 😂😂😂😂
Kuna watu kawashikia akili kwa huu upuuzi wake na hekaya zake za Abunuasi,u much know mwingi,anawabrainwash kwa kuwaaminisha mambo ya uchawi ambayo ni mambo ya kufikirika tu basi wanamuona bonge la GT

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani nimecheka hadi nimelia,
Wajinga wajinga hawakosekani humu
 
Ulozi Man, hivi usiku Mara nyingi nasikia mtu anatembea nje,the way anavyotembea hujui anaenda mbele au anarudi nyuma, Mara nyingine nimekaa sebulen mida ya tisa usiku naangalia televihmseni, nikahisi hatua zinatembea kwa muds mrefu dirishani mwangu nkkamute remote nisikilize ghafla hali ikapotea nlivyochungulia dirishani naona tochi inatembea inamulika, mmulikaji haonekani yaweza kua vibaka type au kuna ushirikina involved!?
 
Mshana Jr Huyu jamaa ni kama alijitabiria au kuna roho ilimuandama pasipo yeye kujijua.
Hii picha alipost kwenye birthday yake june mwaka huu akiwa na hiyo keki yenye bastola
IMG_20210719_000047.jpg
 
Sasa Kama hio Ni silaha na inakuwa hivyo he, Hawa vijana wanaoona sifa kuchapa bakora kila binti aliepo mbele yao?
 
Mshana Jr Huyu jamaa ni kama alijitabiria au kuna roho ilimuandama pasipo yeye kujijua.
Hii picha alipost kwenye birthday yake june mwaka huu akiwa na hiyo keki yenye bastola View attachment 1859093
hamna kitu hapo cha kujitabiria wala nini.
huyu fala alikua mpenda sifa za kipumbavu
alitaka ajulikane anamiliki mguu wa kuku
ndio maana hata waliomtengenezea cake
wamedecorate kwa bastola sababu wanajua
jamaa yao anamilik na anajivuni kuwa nayo..

mtu wa kujiachia nayo ili kutisha watu
 
Ulozi Man, hivi usiku Mara nyingi nasikia mtu anatembea nje,the way anavyotembea hujui anaenda mbele au anarudi nyuma, Mara nyingine nimekaa sebulen mida ya tisa usiku naangalia televihmseni, nikahisi hatua zinatembea kwa muds mrefu dirishani mwangu nkkamute remote nisikilize ghafla hali ikapotea nlivyochungulia dirishani naona tochi inatembea inamulika, mmulikaji haonekani yaweza kua vibaka type au kuna ushirikina involved!?
Piga ramli
 
Umeandika 'fact'.

Kuna jamaa yangu alifariki kwa ajali ya kugoga mwembe kwa gari.

Ile sehemu iliyogongwa, walichubua magome yote mpaka wakaokota uvingiri uliosambaa pale chini pamoja na ule 'unga' wa vioo vilivyotapakaa damu, vyote walifagia wakazoa!

Muda wa kubangua hayo magome na kufagia vioo wanaujua wao maana hatukuona mtu akifanya hilo tukio!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana maiti za watu maarufu hulindwa sana,NB alipokufa Raisi wa Zanzibar watu walikua wanachukua udongo(Kizimba I think)
 
Back
Top Bottom