Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
Ndio tuseme "Maaskofu na wachungaji imewashinda kabisa hii fani!?[emoji2][emoji2][emoji2]hao ndio madalali wa ulozi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tuseme "Maaskofu na wachungaji imewashinda kabisa hii fani!?[emoji2][emoji2][emoji2]hao ndio madalali wa ulozi sasa
bila shaka, ndivyo hivyo mkuu.Silaha ni kama hirizi.. Most of the time wewe ndio unailinda
ndo matumizi ya silaha hayo.Mkuu silaha ni silaha tu, imepitia mikononi mwa mtu safi ama mtu katili ishaitwa silaha. Kwa namna yoyote (ukatili/ ulinzi) kama sio kuondoa uhai wa mtu basi itamwaga damu ya mtu.
Haaaaa Haaaaa 😂. Sidhani kama huyo jamaa alinunua hiyo silaha ili auwe nayo mbuzi, hiyo ni maalum kwa matumizi ya binadamu 🔫Jibu swali wewe,ukipigwa maswali magumu unakuaga unajiaminisha kua aliye kuuliza hajaelewa bandiko
Haaaaa Haaaaa 😂jamaaa anaona ufahari kweli kweli wanavomuita mshirikina kumbe Utopolo mtupu 😂😂😂😂Mawazo ya kijinga kabisa haya,kwenye karne hii yenye sayansi na teknolojia bado kuna mtu anawaza sijui makafara!!
Kazi ya Bastola/Bunduki ni kuua tu,so silaha zote zinazoua hapa dunuani zina mikosi na laana?
Magari,Ndege,Meli...zikipata ajali na kuua ina maana zilinunuliwa kwa pesa haramu? Zinakua ni kafara?
Acha kupotosha wewe,haya mawazo ya kijinga baki nayo wewe peke yako,usiaminishe hiki kizazi cha sasa upuuzi usiokua na maana.
kabisaa, ndo mana kuna jamaa alisema alikuwa anamuona jamaa kama shetani kampanda vile anatafuta mtu mwngne wa kumshootAngenusurika kujiua angekwambia hajui ninini kilitokea
Kuna watu kawashikia akili kwa huu upuuzi wake na hekaya zake za Abunuasi,u much know mwingi,anawabrainwash kwa kuwaaminisha mambo ya uchawi ambayo ni mambo ya kufikirika tu basi wanamuona bonge la GTHaaaaa Haaaaa 😂jamaaa anaona ufahari kweli kweli wanavomuita mshirikina kumbe Utopolo mtupu 😂😂😂😂
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani nimecheka hadi nimelia,Kuna watu kawashikia akili kwa huu upuuzi wake na hekaya zake za Abunuasi,u much know mwingi,anawabrainwash kwa kuwaaminisha mambo ya uchawi ambayo ni mambo ya kufikirika tu basi wanamuona bonge la GT
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hamna kitu hapo cha kujitabiria wala nini.Mshana Jr Huyu jamaa ni kama alijitabiria au kuna roho ilimuandama pasipo yeye kujijua.
Hii picha alipost kwenye birthday yake june mwaka huu akiwa na hiyo keki yenye bastola View attachment 1859093
Alikua anaringa nayo may beMshana Jr Huyu jamaa ni kama alijitabiria au kuna roho ilimuandama pasipo yeye kujijua.
Hii picha alipost kwenye birthday yake june mwaka huu akiwa na hiyo keki yenye bastola View attachment 1859093
Piga ramliUlozi Man, hivi usiku Mara nyingi nasikia mtu anatembea nje,the way anavyotembea hujui anaenda mbele au anarudi nyuma, Mara nyingine nimekaa sebulen mida ya tisa usiku naangalia televihmseni, nikahisi hatua zinatembea kwa muds mrefu dirishani mwangu nkkamute remote nisikilize ghafla hali ikapotea nlivyochungulia dirishani naona tochi inatembea inamulika, mmulikaji haonekani yaweza kua vibaka type au kuna ushirikina involved!?
Ndio mana maiti za watu maarufu hulindwa sana,NB alipokufa Raisi wa Zanzibar watu walikua wanachukua udongo(Kizimba I think)Umeandika 'fact'.
Kuna jamaa yangu alifariki kwa ajali ya kugoga mwembe kwa gari.
Ile sehemu iliyogongwa, walichubua magome yote mpaka wakaokota uvingiri uliosambaa pale chini pamoja na ule 'unga' wa vioo vilivyotapakaa damu, vyote walifagia wakazoa!
Muda wa kubangua hayo magome na kufagia vioo wanaujua wao maana hatukuona mtu akifanya hilo tukio!
Sent using Jamii Forums mobile app