Bastola ya dogo janja anamiliki kihalali??Tuanzie hapa kama sio nani mmiliki?

Bastola ya dogo janja anamiliki kihalali??Tuanzie hapa kama sio nani mmiliki?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Ndugu wa jeshi la polisi.

Nimeona hii kashfa ya dogo janja msanii kumpiga mwanafunzi.

Imenihuzunisha sana sana.

Awali ya yote chunguzeni.

Uhaalali wa hio siila kwa dogo janja..anamiliki kihalali.

Kama sio nani alimpa?

Na nani mmiliki mtujuze mapema tu.

Na kama anamiliki kihalali nashairi uchunguzi ukiwa unaendelea anyanganywe irudishwe kwa jeshi la polisi.

Hafai kabisa kuwa mmiliki wa silaha kama bastola.
 
NDUGU WAH WA JESHI LA POLISI

NIMEONA HII KASHFA YA DOGO JANJA MSANII KUMPIGA MWANAFUNZI

IMENIHUZUNISHA SANA SANA

AWALI YA YOTE CHUNGUZENI

UHAALALI WA HIO SIILA KWA DOGO JANJA..ANAMILIKI KIHALALI

KAMA SIO NANI ALIMPA??

NA NANI MMILIKI MTUJUZE MAPEMA TU.....

NA KAMA ANAMILIKI KIHALALI NASHAIRI UCHUNGUZI UKIWA UNAENDELEA ANYANGANYWE IRUDISHWE KWA JESHI LA POLISI

HAFAI KABISA KUWA MMILIKI WA SILAHA KAMA BASTIOLA
CCM inatuletea wahuni na wauaji sema NO kwa ccm
 
Majirani wanasema ni mwanafunzi na sio kibaka na wanamjua amekulia huo mtaa na ni kijana mstaarabu tu
Hata yule aliyepigwa na Mwakinyo majirani walimtetea kuwa ni mtu safi na sio mwizi. Mwisho ikagundulika kumbe watu Wana chuki na tabia ya Mwakinyo kutokujichanganya na jamii
 
Uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi kuhusu tukio la Mgombea Udiwani kata ya Ngarenaro (CCM) Abdulaziz Abubakari Chande "Dogo Janja" kumshambulia kwa risasi Bakari Halifa Daudi (18) huko sombetini jijini Arusha umebaini kuwa mtuhumiwa alikuwa akijihami.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo zimesema kuwa tukio hilo lililotokea Agosti 23 majira ya saa 5:30 usiku lilihusisha bakari kujeruhiwa kwa risasi mguuni.

"Kwa mujibu wa uchunguzi wa awali, wakati Abdulaziz, mkazi wa Levolosi, alipokuwa akishuka kwenye gari, alidai kutaka kuvamiwa na Bakari akiwa na mwenzake wakiwa na silaha ya jadi. Hali hiyo ilisababisha mtuhumiwa huyo kutumia silaha aliyokuwa nayo na kumpiga risasi Bakari," imesema taarifa ya polisi.

Hata hivyo, polisi mkoani Arusha wamewakamata watu wawili kuhusiana na tukio hilo na wamesema uchunguzi zaidi unaendelea.
 
Tujipange na kupigwa risasi kwa kujihami
 
NDUGU WAH WA JESHI LA POLISI

NIMEONA HII KASHFA YA DOGO JANJA MSANII KUMPIGA MWANAFUNZI

IMENIHUZUNISHA SANA SANA

AWALI YA YOTE CHUNGUZENI

UHAALALI WA HIO SIILA KWA DOGO JANJA..ANAMILIKI KIHALALI

KAMA SIO NANI ALIMPA??

NA NANI MMILIKI MTUJUZE MAPEMA TU.....

NA KAMA ANAMILIKI KIHALALI NASHAIRI UCHUNGUZI UKIWA UNAENDELEA ANYANGANYWE IRUDISHWE KWA JESHI LA POLISI

HAFAI KABISA KUWA MMILIKI WA SILAHA KAMA BASTIOLA
Wewe naye mleta uzi ni mpumbavu kwanini usiweke kisa chenyewe hata link ya tukio ili habari iwe nyepesi kufuatiliwa na wachangiaji
 
Wewe naye mleta uzi ni mpumbavu kwanini usiweke kisa chenyewe hata link ya tukio ili habari iwe nyepesi kufuatiliwa na wachangiaji
Mithali 25.4 mpaka 12

Usimjibu mpumbavu
Sawa sawa na upumbavu wake
Usije fanana nae
Wazo la leo
 
NA KAMA ANAMILIKI KIHALALI NASHAIRI UCHUNGUZI UKIWA UNAENDELEA ANYANGANYWE IRUDISHWE KWA JESHI LA POLISI

HAFAI KABISA KUWA MMILIKI WA SILAHA KAMA BASTIOLA
Na wakimvamia na kumuua wewe utachekelea?
 
Back
Top Bottom