ššhaya ndiyo yaoe matoto mpumbavu yanayo sema ššbora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu...Mithali 25.4 mpaka 12
Usimjibu mpumbavu
Sawa sawa na upumbavu wake
Usije fanana nae
Wazo la leo
Kaka name hisi tu risasi nayo ijua Mimi mtu anatembea kabisa. Alie pigwa risasi anatembea kabisa mkuu sio hujuma hiziHawa vijana siku hizi wamekuwa vibaka, sidhani kama dogo janja alitoa tu bunduki na kumlenga, unakuta kijana wa form 4 anavuta bangi, anakunywa pombe, anakula ugoro.. anakaba watu... hakuna mwanafunzi hapo..
Itakuwa amepiga risasi ya mguuni...Kaka name hisi tu risasi nayo ijua Mimi mtu anatembea kabisa. Alie pigwa risasi anatembea kabisa mkuu sio hujuma hizi
Fullstop kwishaaaa
Kwa kuwa dogo yupo chama tawala hili kwake litakuwa dogo na atavuka salama kbsaNdugu wa jeshi la polisi.
Nimeona hii kashfa ya dogo janja msanii kumpiga mwanafunzi.
Imenihuzunisha sana sana.
Awali ya yote chunguzeni.
Uhaalali wa hio siila kwa dogo janja..anamiliki kihalali.
Kama sio nani alimpa?
Na nani mmiliki mtujuze mapema tu.
Na kama anamiliki kihalali nashairi uchunguzi ukiwa unaendelea anyanganywe irudishwe kwa jeshi la polisi.
Hafai kabisa kuwa mmiliki wa silaha kama bastola.