Kama dogo janja naye wkt huo alikuwa ameshakula kubeli uwezekano huo pia upo wa kufyatua hizo risasi bila ya kuwepo sababu za msingiYule dogo ni mwizi na kibaka, haiwezekani dogo janja ampige chuma bila sababu huku akijua ana uchaguzi mbele yake..
CCM inatuletea wahuni na wauaji sema NO kwa ccmNDUGU WAH WA JESHI LA POLISI
NIMEONA HII KASHFA YA DOGO JANJA MSANII KUMPIGA MWANAFUNZI
IMENIHUZUNISHA SANA SANA
AWALI YA YOTE CHUNGUZENI
UHAALALI WA HIO SIILA KWA DOGO JANJA..ANAMILIKI KIHALALI
KAMA SIO NANI ALIMPA??
NA NANI MMILIKI MTUJUZE MAPEMA TU.....
NA KAMA ANAMILIKI KIHALALI NASHAIRI UCHUNGUZI UKIWA UNAENDELEA ANYANGANYWE IRUDISHWE KWA JESHI LA POLISI
HAFAI KABISA KUWA MMILIKI WA SILAHA KAMA BASTIOLA
Mleta hoja ameuliza jee anaimiliki kihalali?Silaha kitu cha kawaida Sana watu wengi Tu wanazo
Majirani wanasema ni mwanafunzi na sio kibaka na wanamjua amekulia huo mtaa na ni kijana mstaarabu tuIle ndo dawa ya kibaka, hakuna mwanafunzi pale.
Hata yule aliyepigwa na Mwakinyo majirani walimtetea kuwa ni mtu safi na sio mwizi. Mwisho ikagundulika kumbe watu Wana chuki na tabia ya Mwakinyo kutokujichanganya na jamiiMajirani wanasema ni mwanafunzi na sio kibaka na wanamjua amekulia huo mtaa na ni kijana mstaarabu tu
Wewe naye mleta uzi ni mpumbavu kwanini usiweke kisa chenyewe hata link ya tukio ili habari iwe nyepesi kufuatiliwa na wachangiajiNDUGU WAH WA JESHI LA POLISI
NIMEONA HII KASHFA YA DOGO JANJA MSANII KUMPIGA MWANAFUNZI
IMENIHUZUNISHA SANA SANA
AWALI YA YOTE CHUNGUZENI
UHAALALI WA HIO SIILA KWA DOGO JANJA..ANAMILIKI KIHALALI
KAMA SIO NANI ALIMPA??
NA NANI MMILIKI MTUJUZE MAPEMA TU.....
NA KAMA ANAMILIKI KIHALALI NASHAIRI UCHUNGUZI UKIWA UNAENDELEA ANYANGANYWE IRUDISHWE KWA JESHI LA POLISI
HAFAI KABISA KUWA MMILIKI WA SILAHA KAMA BASTIOLA
Na wakimvamia na kumuua wewe utachekelea?NA KAMA ANAMILIKI KIHALALI NASHAIRI UCHUNGUZI UKIWA UNAENDELEA ANYANGANYWE IRUDISHWE KWA JESHI LA POLISI
HAFAI KABISA KUWA MMILIKI WA SILAHA KAMA BASTIOLA