Bastola ya dogo janja anamiliki kihalali??Tuanzie hapa kama sio nani mmiliki?

Chuga wote ni vibaka...mpiga risasi na mpigwa risasi wote wahuni...wamewahiana tu. Wote watakuwa bangi na mirungi😛
 
Ila wewe jamaa uandishi wako kama bata aiseee.!! 😹
 
Mithali 25.4 mpaka 12

Usimjibu mpumbavu
Sawa sawa na upumbavu wake
Usije fanana nae
Wazo la leo
😁😁haya ndiyo yaoe matoto mpumbavu yanayo sema 👉👉bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu...
 
Na kama anaimiliki kihalali na alivamiwa na akajitetea aongezewe risasi maana zimepungua.
 
Hawa vijana siku hizi wamekuwa vibaka, sidhani kama dogo janja alitoa tu bunduki na kumlenga, unakuta kijana wa form 4 anavuta bangi, anakunywa pombe, anakula ugoro.. anakaba watu... hakuna mwanafunzi hapo..
Kaka name hisi tu risasi nayo ijua Mimi mtu anatembea kabisa. Alie pigwa risasi anatembea kabisa mkuu sio hujuma hizi

Fullstop kwishaaaa
 
Kwa kuwa dogo yupo chama tawala hili kwake litakuwa dogo na atavuka salama kbsa
 
Hakununua silaha ya mapambo, vijana wa chuga ni wa hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…