Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
aache hayo mambo akubali kushindwa kwani walizaliwa na madaraka....afu nasikia kilango wetu chini daaaa hii imeniuma she was among the best kwa chama cha looser
Anauma na kupuliza yule...si mtu mzuri kama unavyomhisi!
 
Ili kunusuru vurugu ambazo zinaweza kutokea soon inbidi RC Shirima ambaye ni Mwenyekiti w Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani aweke kando U-CCM na RPC Matei wamtake Mkurugenzi atangaze matokeo hivyo-hivyo maana sheria inaruhusu. Nimekutana na kundi la Vijana barabarani wakitokea Kijenge wanaelekea mjini nlipowauliza kulikoni wanasema wamekesha na hawajalala leo kwa ajili ya kusubiria matokea na walikuwa wanaellekea Ofisini kwa Msiamaizi wa Uchguzi.

Askari Magereza na Mgambo wameongezwa kwenye eneo la kutangazia matokeo (Kwa msimamizi) ili kutuliza munkari wa Wananchi nadhani wanaweza kuongeza na JWTZ lakini haitasaidia, Watangaze matokeo tu ili kuepusha vurugu.
 
Dah kweli democrasia ngumu............ mama kubali kiungwana huwezi jua Rais mtarajiwa awezakuonea huruma na kukurudisha kundini.
 
Natamani ningekuwa kainzi huko aliko mkwere na wapambe wake ili nisikie yanayojiri katika mazungumzo yao.😛eace:😛eace:😛eace:


Nimeambiwa Mheshimiwa EL ametinga kwenye Jumba La Manispaa sasa hivi kuhakikisha kilichotokea Arusha na kama kuna uwezekano wa kuchakachua.
 
kama slaa vile!! Upadri na siasa. Mtunza kondoo wa mungu kama politician, ila anafaa!!!!!!!!!!!!

huyu ndiyo mzuri. Maana atutunza kikondoo kondoo tu. Mara nyingi wachunga kondoo ni wapole na hekima imewajaa. Pia wanasimamia haki.
 
aache usenge huyo.. Kama alitaka ashinde yeye si angehamia chadema..asilete ukuda kabisa. Nasema asaini na akikataa ashikiriwe mkono alazimishwe kusaini,, aache ukuda huyo.
the following user says thank you to harrysonful for this useful post:

rev masanilo (today)​

mchungaji unatoa senksi kwenye tusi???? Bwana awe nawe...
 
Mkuu vp tena maji ya shingo? Umepotea sana siku 2 hizi


Mkuu nipo sana Lema ameshinda Arusha hakuna ubishi makao makuu ya EAC itaongozwa na mbunge mwenye elimu ya kuchakachua.Sijachukia sana kwakuwa mpinzani kashinda bado nasisitiza Lema si karata ya kuaminika mtakuja niambia mbele ya safari.
 
Hao si ndo walikuwa wa kwanza kusema wapinzani wakubali matokeo sasa vipi tena kwao?
Lazima walinywe, maana washalikoroga

Mkuki kwa nguruwe mkuu, walizani watachakachua. wameshindwa kuchakachua. Kifo cha mende hicho.
 
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na kufunga barabara zote, hapapitiki kabisa kwa usafiri wa magari!
Nafuatilia zaidi.

Shimbo, kamata huyu!!!!!!
 
Mkuu nipo sana Lema ameshinda Arusha hakuna ubishi makao makuu ya EAC itaongozwa na mbunge mwenye elimu ya kuchakachua.Sijachukia sana kwakuwa mpinzani kashinda bado nasisitiza Lema si karata ya kuaminika mtakuja niambia mbele ya safari.
Ulisema hatashinda.....kashinda
Unasema Si karata ya kuaminika...take my word, ata'deliver!
We si ni Tomaso?...sit back and relax, atafanya maajabu!
 
Mkuu zile si sumu hata kidogo bali hali halisi.Nasisitiza huwezi kumwamini Lema kama una akili nzuri akawii kufanyabiashara.

Kwani kufaanya biashara ni dhambi kaka?
Ebu lete updates za Batilda hapo mkuu, vipi kaachilia jimbo?
 
Kwani kufaanya biashara ni dhambi kaka?
Ebu lete updates za Batilda hapo mkuu, vipi kaachilia jimbo?


PJ....huyu mama bado hajakubaki tu kusaini?..hebu nieleweshe hapo jamani, so tuseme akiendelea na mgomo ndio itakuwa ambembelezwe mpaka asaini ndio mambo yatangazwe, nimemuone huruma Mzee kileo, kamwagwa vibaya sana.
 
its really terrible hapa manispaa ya Arusha. kumejaa sana na kelele za kila aina ikiwa ni pamoja na mavuvuzela. sijui kwanini huyu mama hataki kukubali kushindwa
 
Habari za hivi karibuni ni kwamba amekubali matokeo!
Asante kwa kuepusha umwagaji damu...nasikia kuna vijana walikuwa wamejificha mahali na wameagana na wake na ndugu zao kuwa kama wasingerudi basi na ijulikane kuwa ni..."si mbaliiiiii..karibu",..tutafika na sisi hukooooo"
Mambo ya uchaguzi yana athari ambazo ni fatal!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom