ndyo maana nakucheka nairobi yenu ni nyororo sana kwa jinsi mnavyoipaisha ni tofaut mlichotuzid ni fly over na sis ndyo tunazianza sasa tukikamilisha za kwetu midomo yenu itachachaWe ajab yako kutoelewa!! Mwalimu wako alipata shida sana wewe!! Soma hapo nimeandika nini!!! Ok huelewi, nimekupangia vitu vichache kuonesha jiji la Nairobi kujitosheleza, Barabara, hoteli, makaazi, ofisi, burudani nk. sio eti ni hizo tu, ila kutoa mifano tu!!
mkizidiwa na alshabab muwe mna tuomba msaada tuwaonyeshe jinsi kazi inavyokwenda .....we have a big historical kwa hili jeshi tumekomboa sehemu nyingi laiti lingekuwa jeshi lenu mngekufa wote huo ndyo ukwel usibishe vitu vilivyowazi kwa kuijaza kenya 4 nothinghahaha, hao wenu twawapa tu Kenya police, hamna haja ya KDF
Kdf inavamiwa kambi nzima na alshabab watoto wadogo wanawaua kama kuku alaf unasema unajeshi hhhahhhahah we acha stori za kanga alaf kuja kudanganya dunia wamekufa waneshi 50 tu wanaume wavamie kambi nzima waue 50 tu hahhaha munafanya masikhara nnhahaha, hao wenu twawapa tu Kenya police, hamna haja ya KDF
Mbona somalia hampeleki hao polis hhaha polisi walivamiwa mandera wakaibiwa silaha zote na kuliwa eti polisi hahhahahahahaha, hao wenu twawapa tu Kenya police, hamna haja ya KDF
Kwan yeye alikua anazungumza nn au unabutuka tuangalia tarehe kabla kupost vitu hapa
Hujasoma wewe, hujui hujitambia, nilivyosema, unasumbuliwa na ulimbukeni. Usitafute kitabu, hapa tu jf tumewawekea elim ya kutosha bila malipo. Soma utajua kwamba hapa hivi unajiaibisha bureangalia tarehe kabla kupost vitu hapa
Tafuta kina Kadoda, Anneal, Game over, nk hao washaerevuka watakufunzaNdio hao sasa walikua wamesinzia View attachment 478733
Ukitaka mm na we tuendelee kuongea leta dar vs Nairobi,mombasa and kisumu ndio kidogo tunaeza kuongea vzr, wanifunze nn wakat kwnazia mwanzo mumeshindwa kutimiza vigezoTafuta kina Kadoda, Anneal, Game over, nk hao washaerevuka watakufunza
Ukitaka mm na we tuendelee kuongea leta dar vs Nairobi,mombasa and kisumu ndio kidogo tunaeza kuongea vzr