Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,039
- 11,822
ndyo maana nakucheka nairobi yenu ni nyororo sana kwa jinsi mnavyoipaisha ni tofaut mlichotuzid ni fly over na sis ndyo tunazianza sasa tukikamilisha za kwetu midomo yenu itachachaWe ajab yako kutoelewa!! Mwalimu wako alipata shida sana wewe!! Soma hapo nimeandika nini!!! Ok huelewi, nimekupangia vitu vichache kuonesha jiji la Nairobi kujitosheleza, Barabara, hoteli, makaazi, ofisi, burudani nk. sio eti ni hizo tu, ila kutoa mifano tu!!