Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Mliamua aje? Tubwage tu? Sawa! Mimi hii vidoe itonesha baadhi ya 5 star hotels in Nairobi!!
20 Five star hotels in this video
20 Five star hotels in this video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Schoolswatz semeni where we go next
Huku hakuna posho per post...Kule kwingine kila post ya kukisifia chama wanalipwa jero.Halafu mkuu mbona team Lumumba huwa hawaji huku unabaki mwenyewe unapambana , basi watag wote kina lizaboni, lupyee, pohamba, mzee mwanakijiji, tupatupa waje na huku sio wanaleta uduanzi wao tu kule jukwaa la siasa wakati hawawezi itetea serikali yao nje ya mipaka.....waite wajeee na huku