Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok. Sema nimerudi unasemaje? Kuna vitu vingi nimepost. Wewe anza kuvijibu kimoja kimoja. Wewe isome thread tu.Annael AKO WAPI KWANI DAR NI HOTEL NA BRT PEKEE YAKE??? alafu ujue hatukaweka hotels za coastal area because nai ni landlocked...so hakuna ati mnasema hotel mmeshinda..mmeshinda wapi????
haya nataka twende the next item...taja sector moja unayotaka tujadili na tuanze mara mojaOk. Sema nimerudi unasemaje? Kuna vitu vingi nimepost. Wewe anza kuvijibu kimoja kimoja. Wewe isome thread tu.
city masterplan niaje...picha za nairobi ama? niwie radhiTunaanza na Master Plan of the city. Anza wewe kisha nitakujibu twende taratibu.
watanzania wameitisha timeout...hehe itabidi wapumue kidogoHahahaa... Jay456watt..... Lol! Ref amepuliza kipenga. Time out.
sina hio pengine skyline ya nairobi...ila kasi ni yako...Plan ya mji unavyotakiwa kuwa. Map of the city plan (Summary). Kama huna sema huna ili tuendelee na kingine.
Basi usifananishe BRT na matatu. Vipi kuhusu boat?
Unajua mimi nimewaacha tu sasa hivi naenda nao Taratibu. Maana jamaa wanaanza kuonesha usafiri wa ndege.Kaka hawa sasa wanatambia rail yao mpya ambayo na Tanzania itajengwa mwaka huu, wanasahau kuwa wakati wao wakiwa na rail ya mkoloni Mwingereza sisi tulikuwa na rail ya Mkoloni Mjerumani na pia tulikuwa na Rail ya Watanzania wenyewe Tazara, afterall mambo ya rail wanayoyaonyesha sio kitu cha Nairobi bali ni Mombasa- Nairobi
Tunaanza na Master Plan of the city. Anza wewe kisha nitakujibu twende taratibu.
sawaSkyline sio master plan. Kama huna. Mimi nimekuwekea ya dar es salaam kwenye post #2.
Tuendelee na kingine:-
Current View of the city.
Master plan ya Dar es salaam nimeiweka kwenye post #2Hiyo iko
View attachment 456471