Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio Dar iko vizuri sijakataa...jambo lamuhimu ni comparison kwani London iko vizuri ila ukilinganisha na New york, huu ni mfano....my remarks...Dar iko sawa ipo namba 2 EA
Kwanini ipo namba 2?
 
Kwanini ipo namba 2?
ok tufanye hivi
Dar.........Nai
Airport (nai)
infrastructure (Nai)
malls and retail (Nai)
beaches (Dar)
glass buildings (Dar)
recreational facilities (Nai)
Hospitals (sijui pengine tufanye comparison)
Hotels (siko sure ila Dar iko poa Nai pia iko sawa...naipa Dar kwa hili juu ya beaches)
security (Dar)
Business (nai coz it is regarded as the regional hub of EA..not my words)
 
image.jpg
image.jpg
image.jpg

Kaka hayo ni mambo ya Muda tu, soon TZ Tutakuwa nahiyo SG na huwa hatuna kelele
kwani kwenye miaka ya Late 60's na Early 70's tanzania tulikuwa na train ambazo nyie hamkuwa nazo na wala kulikuwa hakuna kelele, leo SG ya Nai- Momb ni kelele mingi,
Kwa taarifa hiyo rail ya Tazara ilikuwa ni almost SG na ni rail inayounganisha TZ mpaka Capetown

CC: Annael
Wewe hata sijui utaambiwa nini. SGR yapitia mjini Nairobi kwa hivyo ina manufaa kwa wakaazi wa jiji hili. Wacha nikupe picha za station za Nairobi
 
ok tufanye hivi
Dar.........Nai
Airport (nai)
infrastructure (Nai)
malls and retail (Nai)
beaches (Dar)
glass buildings (Dar)
recreational facilities (Nai)
Hospitals (sijui pengine tufanye comparison)
Hotels (siko sure ila Dar iko poa Nai pia iko sawa...naipa Dar kwa hili juu ya beaches)
security (Dar)
Business (nai coz it is regarded as the regional hub of EA..not my words)

Add the following
BRT (Dar)
Island (dar)
Marine Reserve (Dar)
Long Bridge (Dar)
Port (Dar)

Vipi hapo? Hapo nimeweka visivyo na ubishi
Kwenye Airport sawa Nai
 
Annael sijui wewe unaonaje twende the third which I believe is ongoing projects...i believe that the rules are one spost per person...eg mimi post moja ya picha zote wewe pia post moja...
 
Mwanangu unaongea vitu kwa kuangalia uhalisia bigup sana....Annael kaonyesha Dar naww umekaza Nai, Dar kwa hotels wamewazidi,Nai kwa barabara mko juu, airport nawapa Nai, skyline nawapa Dar, uzuri kwa maana ya mpangilio nawapa Nai, wingi wa majengo kwa maana ya buildings Dar. ....malls Nai, market kariakoo, nn nimesahau....out of ten Nai naipa 8 dar 6
 
Ongoing project tayari kuna thread zake. Twende kwenye proposed projects. Hapa tunaweka picha na video sawa.
Tunatakiwa kila mmoja anaweka post tano. Sawa?
 
Mwanangu unaongea vitu kwa kuangalia uhalisia bigup sana....Annael kaonyesha Dar naww umekaza Nai, Dar kwa hotels wamewazidi,Nai kwa barabara mko juu, airport nawapa Nai, skyline nawapa Dar, uzuri kwa maana ya mpangilio nawapa Nai, wingi wa majengo kwa maana ya buildings Dar. ....malls Nai, market kariakoo, nn nimesahau....out of ten Nai naipa 8 dar 6
Vita kali sana. Zamani haikuwa hivi.
 
Tukipata flyover na sgr then sijui mchezo itakuaje maana tutakua hot more
 
Add the following
BRT (Dar)
Island (dar)
Marine Reserve (Dar)
Long Bridge (Dar)
Port (Dar)

Vipi hapo? Hapo nimeweka visivyo na ubishi
Kwenye Airport sawa Nai
unajua hapo sio sawa kwani unawezaje compare landlocked city na ocean city....we dont have a beaches coz we dont have an ocean in Nai...we dont have port coz of the same....we dont have bridges coz of the same....hauwezi compare embe na ndizi...compare ndizi ya kawaida na zile sweet bananas apo ina mek sense...sijui kama wanielewa....compare something that both cities have or need....BRT ni sawa mmetushinda kwasababu ni kitu tunaeza implement ila bado...lakini ukisema port, beasches,marione reserve????? nairobi doesnt need those
 
View attachment 456497 View attachment 456499 View attachment 456500
Kaka hayo ni mambo ya Muda tu, soon TZ Tutakuwa nahiyo SG na huwa hatuna kelele
kwani kwenye miaka ya Late 60's na Early 70's tanzania tulikuwa na train ambazo nyie hamkuwa nazo na wala kulikuwa hakuna kelele, leo SG ya Nai- Momb ni kelele mingi,
Kwa taarifa hiyo rail ya Tazara ilikuwa ni almost SG na ni rail inayounganisha TZ mpaka Capetown

CC: Annael

Mambo ya zamani yakae zamani. Twaogea kuhusu sasa hivi. SGR ya Kenya yaenda kumaliziwa na Tanzania bado hata ujenzi kungoa nanga. Ni kama hilo Bagamoyo port lenu. White elephants
 
unajua hapo sio sawa kwani unawezaje compare landlocked city na ocean city....we dont have a beaches coz we dont have an ocean in Nai...we dont have port coz of the same....we dont have bridges coz of the same....hauwezi compare embe na ndizi...compare ndizi ya kawaida na zile sweet bananas apo ina mek sense...sijui kama wanielewa....compare something that both cities have or need....BRT ni sawa mmetushinda kwasababu ni kitu tunaeza implement ila bado...lakini ukisema port, beasches,marione reserve????? nairobi doesnt need those
Sawa. Twende kwenye point ya pili. Proposed projects maana tayari kuna threads za ongoing projects.
 
unajua hapo sio sawa kwani unawezaje compare landlocked city na ocean city....we dont have a beaches coz we dont have an ocean in Nai...we dont have port coz of the same....we dont have bridges coz of the same....hauwezi compare embe na ndizi...compare ndizi ya kawaida na zile sweet bananas apo ina mek sense...sijui kama wanielewa....compare something that both cities have or need....BRT ni sawa mmetushinda kwasababu ni kitu tunaeza implement ila bado...lakini ukisema port, beasches,marione reserve????? nairobi doesnt need those
Mngehamia kwenye hospital sasa
 
Mall za Tanzania ni ndogo hata haziwezi linganishwa na mall ndogo zaidi za Nairobi...Hahaha

Mall nyingine za Dar ni ndogo kuliko supermarket moja ya Kenya 😀😀😀😀
 
image.jpg

Mbona jamaa yako kaweka picha za zamani za trains na zingine wala sio za Nairobi? Hivi mlishawahi kuwa na Wagons za aina hii?

Mambo ya zamani yakae zamani. Twaogea kuhusu sasa hivi. SGR ya Kenya yaenda kumaliziwa na Tanzania bado hata ujenzi kungoa nanga. Ni kama hilo Bagamoyo port lenu. White elephants
 
2. SGR (Within and out dar es salaam)

Now, all these things are repetitions of already existing threads. We can have a good night sleep. Nairobi 8 Dar 5...........To be continued.
 
Back
Top Bottom