Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa post moja basi....tuende jambo gani lingineSoma comment zangu. Tunataka kwenda kwa step. Maana hatutaona chochote. Wewe weka post moja tu. Na mimi naweka moja kisha tuna compare sawa?
wanaosoma thread ndio watakaoamua kwasababu hakuna mtu yeyote ambaye atasema jiji lao sio la kwanza..mimi nitasema nairobi iko juu wewe utasema Dar...tutakua tume accomplish nini sasaNakusubiri njoo utoe marks wewe mwenyewe.
Kaka hawa sasa wanatambia rail yao mpya ambayo na Tanzania itajengwa mwaka huu, wanasahau kuwa wakati wao wakiwa na rail ya mkoloni Mwingereza sisi tulikuwa na rail ya Mkoloni Mjerumani na pia tulikuwa na Rail ya Watanzania wenyewe Tazara, afterall mambo ya rail wanayoyaonyesha sio kitu cha Nairobi bali ni Mombasa- Nairobi
Very good answerwanaosoma thread ndio watakaoamua kwasababu hakuna mtu yeyote ambaye atasema jiji lao sio la kwanza..mimi nitasema nairobi iko juu wewe utasema Dar...tutakua tume accomplish nini sasa
angalia post hii moja hapa ya mwenzako...juu ya hii...ila ni sawa...my re,marks....Dar iko poa kwani ina beaches, ocean view, glass buidlings na kadhalika...Nairobi naye ina skyscrapers, internationally recognizeed landmarks, national parks, recreational parks, etc...out of ten naipa nairobi 7...dar naipa 5Wataamua wapi? Tunaamua mimi na wewe.
Wewe hujui lolote sasa hivi tunaenda step kwa step wewe subiri. Usibabaishwe na mtu anapost picha kila baada ya sekunde moja. Amezikusanya kuanzia asubuhi. Subiri utaona tutakapotupia Terminal III. Utashangaa.Duh Nairobi iko mbalii sana sio ya kufananisha na Dar... kwa kuanzia tu hio airstrip ya JKN huwezi linganisha kabisa na Jomo Kenyatta International Airport.. ukija kwenye road map.. ooh my god wenzetu wako mbali mno mazee!
Hizo marks zako. Kwahiyo kwenye view umekubali dar ipo vizuri sio?angalia post hii moja hapa ya mwenzako...juu ya hii...ila ni sawa...my re,marks....Dar iko poa kwani ina beaches, ocean view, glass buidlings na kadhalika...Nairobi naye ina skyscrapers, internationally recognizeed landmarks, national parks, recreational parks, etc...out of ten naipa nairobi 7...dar naipa 5
makofi kwako....whats next Annael?Ok on this one Nairobi has ran with it..... Keep developing sweet Nairobi.
ndio Dar iko vizuri sijakataa...jambo lamuhimu ni comparison kwani London iko vizuri ila ukilinganisha na New york, huu ni mfano....my remarks...Dar iko sawa ipo namba 2 EAHizo marks zako. Kwahiyo kwenye view umekubali dar ipo vizuri sio?