Utoto anao huyu na we mshabiki wake maana akili zenu fupi u still want battle of 1590km sq dar against 696 km sq simunaonekana machiziI like you edward...your arguments are mature and based on fact ..hawa wengine tz watoto wa highschool ambao walipata jf mwaka huu
Nishafika sana lakin sijaona kitu kipo huko dar hakuna ila nimeona mambo dar yapo huko hakunaNairobi is East Africa's City, Welcome all
Hakuna matus hapa tatizo kwenye nairaland hua hamueki kibera mathare na zinginezo ndio maana hapa tunaweka tu uijua nairobi iko vp
Kama nini vile?? bahari???Nishafika sana lakin sijaona kitu kipo huko dar hakuna ila nimeona mambo dar yapo huko hakuna
Nchi inafkia hatua inatangaza baa LA njaa ni janga LA taifa alaf anakufata anakwambia middle economy hip akili au matopeMnalipa mishahara ya ajabu ajabu kwa sababu maisha yenu ni expensive. Pia hakuna uzalendo kwenye nchi yenu. Hilo ni jambo la kukemea kabisa nchini kwenu. Kuna watu wanalala njaa huko TUrkana halafu wewe unajisifia mishahara!!!?
Shame on you Kenyans
Nitajie yaliyopo Nai dar hakuna nataka kuskia hapaKama nini vile?? bahari???
Wanajadili nn wakat unaeka mazuri kibera na mathare munaficha wakat watu over three quarter of Nairobi no maskini wakutupa watu wanaish sehem nguruwe hawez ishTofauti ni kwamba Nairaland, watu hujadili kulingana na kwao, sababu kuna mambo ya kujadili, lakini nyinyi hapa Jamii forum, unapata mtu wa tanzania anapost mambo ya Kenya, nani atajadili ya kwao, yani watu hizi forum zingine wamemakinika sana. Ila tu hapa JF
Achana nao hawa watoto akili finyu sana bado anaona tanzania iko 90s wakat Leo tuko 2017 tumrshawaonesha kila kitu waliolewa washaelewa na wameijua sasa dar ni motoHaya Tazama hapa
View attachment 481372 View attachment 481373 View attachment 481374
Ukimaliza kucheck picha hiyo check video hii
Ndio maana mumeomba tanzania madaktari kwan hamkuona nchi nyingine hehhehhh umeona palivo patamuMnalipa mishahara ya ajabu ajabu kwa sababu maisha yenu ni expensive. Pia hakuna uzalendo kwenye nchi yenu. Hilo ni jambo la kukemea kabisa nchini kwenu. Kuna watu wanalala njaa huko TUrkana halafu wewe unajisifia mishahara!!!?
Shame on you Kenyans
Tupe link munatumia 4+ tupe hehhehe hatutaki maneno ya kangaHhhhhh, huelewi 4.5 ndio 4G+??
Nchi inafkia hatua inatangaza baa LA njaa ni janga LA taifa alaf anakufata anakwambia middle economy hip akili au matope
1590km sq dar urban centre uringanishe na nairobi 696kmsq alaf MTU anakufata anataka mashindano hio ni akili kweli hehhe aise hats mtoto was class one anaeza jibu duhhhhh
Itakua 1590 kmsq bila kujengwa hvi we akili yako timamu unafkiri Nairobi ingekua 696kmsq bila kujengwa punguza utoto na akili ndogoPicha ipo humu JF inayoonyesha Ukubwa wa Dar mji, sasa la ukubwa achana nalo, twajua ni kubwa lakini imejengwa nini??
1590km sq dar urban centre uringanishe na nairobi 696kmsq alaf MTU anakufata anataka mashindano hio ni akili kweli hehhe aise hats mtoto was class one anaeza jibu duhhhhh
Haya msikizeni huyu sasa anachoongea wao wamepatwa na njaa analazmisha na sisi tupatwe tanzania INA chakula chakutosha ndio maana nilikwambia njaa yenu imekuja baada ya magufuli kuzuia mahindi na mchele kwenda Kenya ndio maana munakaribia kufaNilisema, itakuwa vyema, ifikirie kwa jambo unaloandika kabla uandike, China has over 10million hungry citizens while it is a developed country, Tanzania nchi yako, ina watu zaidi millioni 5 kwenye hatari ya njaa, Kenya sio eti ilikosa chakula, ila kiangazi kilizidi, mtu ana ng'ombe mia mbili wanakufa wote, hilo si jambo la kujitakia ila ni jangaa, natural course, ndio maana Kenya tunaanza kudevelop irrigation schemes tusitegemee mvua.
Chakula toka kwenye irrigation hizo ndicho kimelisha wakenya hadi sasa mvua imeanza, our international friends pia wachache wamesimama na sisi, na sahi hakuna mkenya amekosa chakula, tanzania je??