NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Yani yupo tu. Ni kama useme Kisumu border na umeng'ang'ana kabisa Kisumu border. Hata mwenzake Geza Ulole amenshangaa. Jamaa lipo hapo Tandale kazi ni kuiba picha na video mtandaoni likijifanya eti limetembea.😂😂Umemshika makende😂😂🤣.
Jamaa hajui penye moshi iko na pia hajui penye lungalunga iko, ni wapi anajua Tanzania tofauti na kwao?😂😂