instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,612
- 19,818
Sema hizo takwimu zenu unishangaza sana. Yaani hako kanairobi kenya sqkm 696. Ndo kawe na km 7730?Baboonman Nairobi alone has almost the same number of paved roads as entire Tanzania.
View attachment 3155606
Hii ni maajabu?
Labda kama wanahesabu na vichochoro