Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kweli kua mkenya ni kuzaliwa kua kichaaπŸ˜‚
 
We were supporting tge Djibouti guy, ama hukuona tukiwaambia tunaka Raila ashimdwe?

Kule hakuna kampeni za Unga Chiniii.

Punda amechokaaaa..... Mama mboga and blaa blaaa...

Sema Baba... Ni kama Mandongaa tuu... Akishinda anaitisha maandamano na akishindwa vile vile anaitisha maandamano.... . Haha haha... Saalaaleee... Aipeleke AU mahakamani wameiba kura zake 🀣🀣🀣
 
hapo ndipo walipotezana watu wamekula fedha zao halafu wakapigia interests za nchi zao! Raila chalii...!!
 
Diplomasia yao kimataifa haina tija,wafikirie upya muundo wake
vimbelembele angalia EAC kila siku wanavyolazimisha kuruka Rotation na kuhodhi chairmanship! Kuna vinchi hapa Afrika havija-mature bado na bado ni vibaraka vya West huwezi ukawapa madaraka makubwa namna hii! Watawauza! Kenya, Rwanda na Uganda wote walewale!
 
hapo ndipo walipotezana watu wamekula fedha zao halafu wakapigia interests za nchi zao! Raila chalii...!!

Jamaa wana siasa nyepesi sana.. Hivyo uwezo wao kujieleza na kuomba kuungwa mkono wanashindwa. Hoja zao ni dhaifu na nyepesi sana... Wamejifungia ndani kwao tu... Na wakitoka nje ni kuji weka level za Nchi za magharibi... Hawana touch na nchi za Afrika hapa kabisa.

Na walikuwa wana honga pesa nyingi hivyo kwa kipi hasa!? Ni biashara gani walitaka kwenda kufanya hapo kwenye kiti cha AUC!? Walikuwa na plan gani jinsi ya ku recover hizo gharama!? Bora wamepewa somo vizuri hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…