Betrayed Gen Z?Since Raila betrayed the Gen Z ushaiskia amwitisha maandamano watu wakaenda? Najua hamtaki kukubali kwamba we are more happy that Raila has failed kuliko vile nyinyi mmefurahi, furaha yenu haiezifikia za wakenya.
Niambie ni nani?Nani hua anaaza huo ujinga?
Mada ni wewe kuita Wakenya roho mbaya kisa wengine wao kachukizwa na Diamond kuchukuliwa. Usibadilishe mada. In fact ingekuwa huko Bongo serikali yenu ingepinga, saa zingine mimi huona serikali yetu inakuwa nzuri kwa majirani sana kupitiliza. Ipo siku tutapata yule Rais wa tit for tat mtakielewa.Umesoma response ya Airtel kwa Hilo swali la jamaa yenu.
Haya mpeleke will Pozzee, kaandamane kabisa Pozee apewe tangazo la Airtel.
Wapuuzi sana sasa kama Airtel inataka msanii wa ku-market Borderless network across Africa, ni Mkundustani gani anaweza fit hiyo category? Wakundu ni wapumbavu sana wanataka kuingilia market strategy ya makampuni sasa! No wonder Africa imemkula kichwa Raila!Acha ujinga CEO mkenya ndio nyie kukuza. Mbona ilikua most companies.
Hadi BARRICK Gold Mine Raisi alitaka Mkurugenzi mzawa now ni Wazawa.
Incompetent Egypt Arab??? Uliona CV yake hadi kuwa Incompetent.
Kwani si mshajibiwa Diamond ni Borderless, haya sasa msaanii gani wenu ni bordeless akiwekwa kwenye tangazo watamfahamu nje ya Ukunyani?
We jamaa na IamLee mnazingua kujifanya special.
Wewe kunguni hujielewi.Betrayed Gen Z?
Acha kujiosha Mmeshindwa kubali L potea. Kwani Gen Z ndio wanapiga Kura?
Kubeba mizigo kwenye gari ni umaskini? Wewe myemen shida yako huwa nini?Are you just stupid ama?ila kenya kuna umaskini wa motoniππ
View: https://www.instagram.com/reel/DFH3PBVsEg3/?igsh=ZGp6NWFkamxoYXdj
mjapan ndio aliwafundisha gari yake ibebe mzigo hvo?? hvi nyinyi usomi wenu unawasaidia nn ??? πππππKubeba mizigo kwenye gari ni umaskini? Wewe myemen shida yako huwa nini?Are you just stupid ama?
Mtifuano loadingβ¦!! Ila Baba kajimaliza kisiasa sodhani kama ODM itabaki salama akijirudisha position ya Party leader!πππππ kazi imeanza sasa
6b+ ksh zimekwenda na maji
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1890786684603650342?s=46
Ebwana Liverpool pameboreswa hivyo!! Sijapita miaka aisee.Tanzanians ni travelers indeed, sahii Tupo mombo kuchimba dawa. Heb check all these buses are on the way to ArushaView attachment 3237379View attachment 3237380View attachment 3237381..
JWTZ nao wanatia aibu, hizo kofia kama sufuria mpaka leo bado wanavaa!! Tangu vita ya kagera!! Hata M23 WANATUSHINDA!! kwani helmet nzuri za kisasa ni bei gani!!!
Kwao ni kinyume, gari la mizigo hubeba watu halafu gari la abiria hubeba mizigo. πππmjapan ndio aliwafundisha gari yake ibebe mzigo hvo?? hvi nyinyi usomi wenu unawasaidia nn ??? πππππ
hio ni moja ya indicator ya umaskini wa hali ya juu