Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Since Raila betrayed the Gen Z ushaiskia amwitisha maandamano watu wakaenda? Najua hamtaki kukubali kwamba we are more happy that Raila has failed kuliko vile nyinyi mmefurahi, furaha yenu haiezifikia za wakenya.
Betrayed Gen Z?

Acha kujiosha Mmeshindwa kubali L potea. Kwani Gen Z ndio wanapiga Kura?
 
Nani hua anaaza huo ujinga?
Niambie ni nani?
Mliponyima Silvia Mulinge work permit kisa ni Mkenya mkapea Mmisri Wakenya tulikuwa tumemnyima Mtanzania mgani work permit? Tibaijuka hakufanya kazi Nairobi kama Mkurugenzi wa UN-HABITA miaka hiyo yote bila shida? Halafu ile siku tutamnyima Bongolala work permit mtatuita roho mbaya.
 
Umesoma response ya Airtel kwa Hilo swali la jamaa yenu.

Haya mpeleke will Pozzee, kaandamane kabisa Pozee apewe tangazo la Airtel.
Mada ni wewe kuita Wakenya roho mbaya kisa wengine wao kachukizwa na Diamond kuchukuliwa. Usibadilishe mada. In fact ingekuwa huko Bongo serikali yenu ingepinga, saa zingine mimi huona serikali yetu inakuwa nzuri kwa majirani sana kupitiliza. Ipo siku tutapata yule Rais wa tit for tat mtakielewa.
 
Acha ujinga CEO mkenya ndio nyie kukuza. Mbona ilikua most companies.

Hadi BARRICK Gold Mine Raisi alitaka Mkurugenzi mzawa now ni Wazawa.

Incompetent Egypt Arab??? Uliona CV yake hadi kuwa Incompetent.

Kwani si mshajibiwa Diamond ni Borderless, haya sasa msaanii gani wenu ni bordeless akiwekwa kwenye tangazo watamfahamu nje ya Ukunyani?

We jamaa na IamLee mnazingua kujifanya special.
Wapuuzi sana sasa kama Airtel inataka msanii wa ku-market Borderless network across Africa, ni Mkundustani gani anaweza fit hiyo category? Wakundu ni wapumbavu sana wanataka kuingilia market strategy ya makampuni sasa! No wonder Africa imemkula kichwa Raila!
 
Back
Top Bottom