Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From hakuna floodlights to hakuna mechi za usiku to hiyo ni international match? 🀣 🀣 🀣 Next utasema unataka kuona rocket ikiland kwa stadium usiku. 🀣 🀣 🀣
sasa hizo ni floodlights?
 
The fact that he performed in Kenya before, means hio ni shida ya the current event organizer.
Kunyaland ni takataka haina standards za kuhost mtu yeyote international halafu kasongo ndio alikua anawapanga eti angehost Grammy awards πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… meanwhile kumhost tu celebrity mmoja tu hamuwezi ndio mhost an entire Hollywood industry?
 
Ebu linganisha hizo nyumba na kile kibanda kinauzwa Ksh10M pale Vumbistan πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona hizo numba ni za kawaida tu you can find them even in mbagala Dar es salaam. Au we unaona u special gani hapo wa kulinganisha na ile most expensive house in the region. Eti kwanye haka kajumba unaona u special upi.? πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎ
 
Umeme unatoka Ethiopia Wacha ujinga
Wacha kufikiria kama bodaboda,
Ethiopia Ina idadi ya watu 135m, installed capacity MW6000, of which mw5,000 zinatoka kwenye Newly Grand Ethiopian Renaissance Dam, significantly not very different from what we produce in Tz ukilinganisha na idadi ya watu ,
Kumbuka hiyo consumption ya MW50K ya RSA is for only 60m population.

Hiyo ziada ya kusafirisha Hadi south Africa Vs Transmission cost wanatoa wapi?
Ethiopia can hardly sell mw 100-200 to poor & broke Kenya.
 
Kuna mbuzi humu kwao mechi za usiku ni kama ndoto πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ si uku twaona kawaida tu wao sana ni big news kuweka taa tu 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…