Wewe ni kajinga,Kwa hiyo JK alivyoanza expansio ya Dar Port basi yeye ndio pekee alikuwa anafikiria kwamba inahitajika expansion na kwamba wanafanya expansion nyingine wao hawajafikiria si ndio? ππ
Hater utateseka sana na Bado hujasema π π
View: https://www.instagram.com/p/DGdnFzeNcTD/?igsh=MXVhd2JxNDhzcXhnYw==
My Take
Bandari zitaendelea kupanuliwa nkujengwa Kwa mujibu wa mahitaji.
Upanuzi unaendelea Mtwara ,Dar,Tanga, Mwanza,Bukoba,Kigoma.
Ujenzi unaendelea MbambaBay,Kilwa na soon utaanza Bagamoyo Port.
So Wacha ujinga ulichanganyika na wivu ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DGd_sHrNmXe/?igsh=MWJvYW1maDQzem5naQ==
dar port expansion ilianza mwaka gani?π
ili ww uwe mwerevu niambie dar port expansion ilianza mwaka gani ??πππ
mtwara port expansio ulianza mwaka gani naomba majibu mzee ππππ
tanga port expansion ilianza mwaka gani?
sometimes kama kitu hujui uliza ujibiwe,hapa hatuongelei mambo ya wivu hapa tunaongelea facts na uhalisia
haya yote yanayoendelea ni umaliziaji tu hakuna jipya kabisa linaloendelea hvi sasa,
1)SGR maamuzi magumu
2)nyerere dam maamuzi magumu
3)dodoma kua jiji maamuzi magumu
kuhamisha serekali dodoma na kujenga mji wa kisasa wakiserekali (magufuli city)
4) dar port expansion maamuzi ya uhakika na tunaona matunda yake
5) mtwara port expansion maamuzi ya uhakika na tunaona matunda yake
6) tanga port expansion maamuzi ya uhakika na tunaona matunda yake
7) umaliziaji wa JNIA terminal 3
8) rada nne zilinunuliwa kutoka ufaransa na kufungua mwanza, dar, mbeya na kilimanjaro, na kuifanya tanzania kujitegemea 100% kwenyw anga lake hususani ndege za abiria na matunda yake yanaonekana mpaka kesho
9) muhimbili mloganzila hospital tunaona matunda yake
10) tanzanite bridge tunaona matunda
yake
11) magufuli bridge busisi kigongo maamuzi magumu
12) nyerere bridge ukamilishaji wa uhakika pamoja na kurasini interchange
13) mfugale flyover, flyover ya kwanza toka tumepata uhuru
14) kijazi interchange ndio interchange ya kwanza three level in east africa
15) kwenye barabara huko ndio usiseme kabisa sina cha kuongea kila kitu kiko wazi
16) ukamilishaji BRT 1, ujenzi wa BRT 2
17) ujenzi wa meli kubwa east africa na ya kisasa mv mwanza na ukarabati wa mv victoria na baadhi ya meli lake tanganyika, nyasa na victoria
18) ujenzi wa chelezo kubwa tanzania na wakisasa toka tumepata uhuru
19)ufufuaji wa air tanzania na kununua ndege za kutosha hili halina ubishi
20) new wami bridge
21) kilombero bridge
22) hifadhi ya taifa ya nyerere na sasa tunaona faida yake maamuzi magumu
23) minerals refineries kuanzishwa ambayo ni historia kwa nchi hii na kuzuia madini yasitoke bila kuchenjuliwa maamuzi magumu na kubadilisha sheria zote za madini, leo tunaona fadia yake π
24) kuboresha hospitali zote za kikanda ikiwemo muhimbili, bugando, KCMC, na ujenzi wa hospitali za rufaa ikiwemo mwalimu nyerere, mtwara, mbeya etc
25) kusitisha upuuzi uliotaka kufanyila bandari ya bagamoyo kwa maslahi mapana ya taifa hili ni maamuzi magumu sana
etc etc mambo ni mengi sana, hapa hatuongelei ushabiki tunaongelea uhalisia na hayo yote yamefanyika nchi ina deni la trillion 56 toka tanzania ipate uhuru hilo deni ila mpaka june 2024 deni lilikua 100 trillion
magufuli kaingia madarakani kakuta deni la trillion 35 mpaka anaondoka duniani nchi ina deni la trillion 56 baada yake kwa miaka mitatu nchi ina deni la trillion 100 tayari πππππ
tuendelee kucheka na kusifiana ππ»ππ»ππ»